Je kuna sindano za kutibu amoeba

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wakuu msaada wenu,

Mwenye kufahamu anijulishe, maana Dawa zimenishinda, nataka kufahamu kabla sijaenda tena hospitali
 
Baba kunywa tu maana hakuna jinsi... amiba dawa zake zote vidonge, ukishindwa kata tonge kuubwa la ugali weka dawa katikati kisa meza

Ukichelewa utakuwa koloni la amoeba hao, tutakuja kukufanyia experiments
 
penakiboko.st: 19999355 said:
Baba kunywa tu maana hakuna jinsi... amiba dawa zake zote vidonge, ukishindwa kata tonge kuubwa la ugali weka dawa katikati kisa meza

Ukichelewa utakuwa koloni la amoeba hao, tutakuja kukufanyia experiments
Mkuu koloni kivipi.
 
Back
Top Bottom