Nahitaji kujua kama ipo ina kazi yake piaUnataka ya nini?
Nakupata ngoja nijaribuSaa za Simu ni App... so tafuta App ya Saa yenye kuonesha na Sec uinstall katika simu yako yoyote ile iliyo Janja!!
Google: Watch Apps
with Second Displayed.
Lete mrejesho mkuu ulifanikiwaNakupata ngoja nijaribu
Sm A105FHii kama font ya Samsung.
Sm A105F
Mambo hy yapo kwny smartphone sio smart callculator..mfano tecno hizo ndo una download app.
Lkn smartphone ipo tu bila msaada wa app yeyote.
Pichasamsung yangu inaonesha sekunde ikiwa katika sleep mode
Nimeshindwa ku-screeshot ikiwa kwenye sleep mode mkuuPicha
View attachment 1792480Yangu ya mezani japo hujasema kama ya mkononi ama ya mezani. Unataka ya nini
Nipe ujuzi huoMbona kila simu inayo?
Unataka sekunde zionekane pale juu au ni sehem gani?Nipe ujuzi huo