Je, kuna simu inayoonesha saa na sekunde?

Hyo setting hapo
Screenshot_20210521-111443.jpg
 
Wadau wa sayansi habarini.

Hivi kuna simu yenye kuonesha saa na sekunde kwenye screen?

Kama ipo picha tafadhali.
Yangu inaonyesha nikiiset kupitia System UI Tuner hata kuiondoa icon kabisa kwenye notification panel naweza..

Kama device yako ina support ku enable system ui tuner basi utaweza tweak features zilizopo..
 
Kwa redmi note 10 siipati kabisa mzee
Pale juu ya simu yako kama kuna ki icon cha settings jaribu kuhold kile kizunguke kwa muda wa kama sekunde 30 mpaka 1, system ui tuner inaweza kua enabled.. Lakini hii njia inategemeana na simu! Kuna zingine zinagomaga..
 
Yangu inaonyesha nikiiset kupitia System UI Tuner hata kuiondoa icon kabisa kwenye notification panel naweza..

Kama device yako ina support ku enable system ui tuner basi utaweza tweak features zilizopo..
Simu yangu nahic haina uwezo wa kuinstall hiyo app
 
Back
Top Bottom