Hiyo ni historia mkuu 'Girland', tazama yanayokuja mbele.Wakiiba kura Kama wanavyofanya kila wakati utafanyaje au unaamini heche alizidiwa kura na CCM au Sugu pale Mbeya town?
Hiyo ni historia mkuu 'Girland', tazama yanayokuja mbele.Wakiiba kura Kama wanavyofanya kila wakati utafanyaje au unaamini heche alizidiwa kura na CCM au Sugu pale Mbeya town?
HUU MUUNGANO ULIKOSEWA KUTUMIWA KWA KUUNGANISHA UDONGO .BORA KUNGEKUWA NA MAKARATASI UNGECHANWA ASUBUHI TUZaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao
Britanicca
KMKMZanzibar haina Jeshi, itajitenga vipi ? Itaanzia wapi ?
Tena Rais wa Zanzibar kwa mujibu wa katiba yao anayo mamlaka ya kuanzisha hivyo vinavyoitwa "vikosi maalum" kwa kadili atakavyoona inafaa. Na ndio amili jeshi mkuu wao.KMKM
KMKM