King JiluX
Member
- Jan 30, 2018
- 62
- 42
Suala la kujenga, kuishi nyumbani na kutoa ushuhuda wa kuona bati ya chengachenga kama huwa inapauka vinahusiana vipi great thinker??Yaani mkuu unauliza utadhani wote tulifanikiwwa kujenga eehhh....
By the way mibado naishi home kwetu kama yesu pia bado anaishi kwa baba yake..😎
Sasa mkuu siungeombaa ushauri dukani wanapo uza mabati yenye chenga...🙄🙄Suala la kujenga, kuishi nyumbani na kutoa ushuhuda wa kuona bati ya chengachenga kama huwa inapauka vinahusiana vipi great thinker??
Nini maana ya jukwaa kama nitaenda dukani ambapo utofauti pekee watakaorefer ni bei ya bati tu??Sasa mkuu siungeombaa ushauri dukani wanapo uza mabati yenye chenga...🙄🙄
Kumbe hadi hizo za vigae zinapauka nazo.??Nilifikiri haipauki, maana sio kwa hiyo bei, bahati nzuri nikaikuta njiani nikiwa safarini.... Inapauka mbaya mbovu. We jipange tu
SanaaaKumbe hadi hizo za vigae zinapauka nazo.??
Okay shukrani kwa ushuhuda, acha nirudi kulekule kwenye kuzingatia brand tu. ALAF.Sanaaa
Mkuu pia ungeangalia sunshare wako vzuriKumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, uku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni zinauza kwa gharama ya juu kisa jina tu la brand ila katika ubora kuna kampuni zenye mabati bora ila kutokana na kutokuwa na majina makubwa zimekuwa zikiuza bati kwa bei nafuu. Kama ilivyo kasumba ya kiafrika kuwa chenye bei ndogo basi kitakuwa na quality ndogo, jambo ambalo siliamini hilo.
Leo nimekuja kwenu wana jamvi kuuliza iwapo kuna mwenye ushuhuda wowote kuhusu hizi bati zenye muonekano wa vigae na chengachenga kama kuna bati kutoka kampuni yoyote aliyowahi kuona ikiwa imepauka, maana nimezunguka binafsi sijawahi kuona bati za aina hiyo zilizopauka. Naalika ushuhuda kutoka kwenu. AHSANTENI.
Shukrani kwa ushauri.Kama zina rangi lazima kuna kupauka!
Hao wanaoponda za bei juu (ALAF) kwa hoja ya kuwa wanauzia jina tu ni umasikini tu unasumbua.
Nikiangalia mapaa ya majirani hapa waliopauwa kwa bati za kichina,hali ni mbaya.
Shukran kwa ushauri mkuu, ngoja nijaribu kuangalia hizo pia. Japo ALAF inaonekana ikipewa maua yake sana. Japo kuna wanaosema wanatumia jina.Mkuu pia ungeangalia sunshare wako vzuri
Mkuu hata hao bei yao imesimama fulani. Bati zao hata gauge 30 iko poa we nunua fundi atakwambia.Shukran kwa ushauri mkuu, ngoja nijaribu kuangalia hizo pia. Japo ALAF inaonekana ikipewa maua yake sana. Japo kuna wanaosema wanatumia jina.
Nataka gauge 28 kabisa.Mkuu hata hao bei yao imesimama fulani. Bati zao hata gauge 30 iko poa we nunua fundi atakwambia.
Sikutumia gauge 28 nilitumia 30 fundi akasifia kuwa hajachakachuliwa maana alisema kuna bati za gauge 30 ukigonga msumari zinabonyea piaNataka gauge 28 kabisa.
Okay shukrani kwa cautionSikutumia gauge 28 nilitumia 30 fundi akasifia kuwa hajachakachuliwa maana alisema kuna bati za gauge 30 ukigonga msumari zinabonyea pia