Je kuna mkopo ktk benki dhamana ya gari?

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Wakuu naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayo weza kukopesha pesa kwa dhamana ya GARI! mfano mkopo wa sh 3M (milioni 3) kwa gari ya sh. let say iki-tathiminiwa ikawa milion 7,8,au 9. Na je kama ipo ni benki gani? na je kama wanakopesha dhamana ya gari ni kuwapa Blue card tu au Blue card na gari yenyewe? Nawasilisha pls!
 
Ngoja waje bankers wakujibu..Lakn pia unaweza fika bank na ukaulizia details mwenyewe.Tena ukienda pale mjini nyingi zipo sehemu moja
 
mi kwa uelewa wangu kwa bank huwa dhamana ni mali isiyohamishika ndio inaweza kutumika.. Ila dhamana ya gari inaweza kutumika kweny microfinance institution kama saccos coz lengo lake ni kusaidia watu wa chini ambao hawana uwezo wa kumudu dhamana za bank.. Na huko kinachotakiwa ni blue card yenyewe gari unabaki nayo..
Source: i'm a banker by profession
 
Ngoja waje bankers wakujibu..Lakn pia unaweza fika bank na ukaulizia details mwenyewe.Tena ukienda pale mjini nyingi zipo sehemu moja

Thanks mkuu, nitatendea kazi hilo! be blessed!
 
mi kwa uelewa wangu kwa bank huwa dhamana ni mali isiyohamishika ndio inaweza kutumika.. Ila dhamana ya gari inaweza kutumika kweny microfinance institution kama saccos coz lengo lake ni kusaidia watu wa chini ambao hawana uwezo wa kumudu dhamana za bank.. Na huko kinachotakiwa ni blue card yenyewe gari unabaki nayo..
Source: i'm a banker by profession

Thanks Banker! naheshimu professional yako, u re likely 99% to be true!! I will try those MFIs
 
Back
Top Bottom