kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,493
WAPO WENGI TU TENA WA FANI TOFAUTI.SIKU HIZI MAMBO YA KWENDA JESHINI ETI KWASABABU TU MREFU KAMA TWIGA HAKUNA TENA
Nikweli, he is my uncleMartin Mkisi ana Ph.D nafikiri.
Martin mtu poa sana.Nikweli, he is my uncle
wanasoma jeshini..Kwa vile uprofesa hupatikana kwa kupanda cheo mtu mwenye PhD, uwezekano pekee ni mtu ambaye tayari ni profesa kutoka taasisi ya elimu ya juu kuingia jeshini akiwa tayari ni Profesa.
Si rahisi kihivyo lakini. PhD mtu akiwahi sana Itakuwa chini ya miaka 30. Kunaweza kuwa na exceptions chache. Kutoka PhD hadi Profesa kawaida ni miaka 9. Sasa mtu huyo kuingia jeshini atakuwa na miaka 40 tena yule aliwahi kabisa.
Hapo ndiyo Kuna kimbembe!
Unaweza kuwa na PhD ukiwa na masters mkuu pia usichukulie uproffessor ni level ya juu ya usomi PhD ni zaidi.uproffessor ni publication na researchKwa vile uprofesa hupatikana kwa kupanda cheo mtu mwenye PhD, uwezekano pekee ni mtu ambaye tayari ni profesa kutoka taasisi ya elimu ya juu kuingia jeshini akiwa tayari ni Profesa.
Si rahisi kihivyo lakini. PhD mtu akiwahi sana Itakuwa chini ya miaka 30. Kunaweza kuwa na exceptions chache. Kutoka PhD hadi Profesa kawaida ni miaka 9. Sasa mtu huyo kuingia jeshini atakuwa na miaka 40 tena yule aliwahi kabisa.
Hapo ndiyo Kuna kimbembe!
Kohi amestaafu akiwa na cheo cha Meja JeneraliKuna mmoja tena ni best ' Neurologist ' akiwa amesomea nchini Urusi na amehudumu sana hapo Lugalo Hospital anaitwa Professor Yardon Kohi amestaafu akiwa na Cheo cha Brigedia anaishi Mbezi Beach barabara ya zamani ya kwenda Goba. Tena asikudanganye Mtu huko Jeshini ndiyo kuna ' Wasomi ' waliotukuka hadi balaa.
Hakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.
Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
Yeah, huyu namjua na alinifundisha.Nilisikia kuna profesa mmoja wa political science kwa jina la Mkisi ambae pia ana Ph.D.
Wee kwa akili yako unaonaje onaje?? Hata binadamu wana symbiotic relationship! Huyo daktari wako unayemuona ana umuhimu kuliko wengine deep down anamtegemea mfagia barabara ili aishi na avute pumzi!Sasa kwa akili yako Daktari wa binadamu na mtu mwenye PHD ya maganda ya korosho hapa nani ni bora zaidi ambaye huduma yake inahitajika?
Duh!Ukweli ndio huo,,,Jeshi ni moja tu JWTZ,,,,
MD sio PhD.Yupo mmoja ni 2/c wa komandi ya Anga, jina kapuni. Mzee yule alianza kwa kuwa daktari (MD), then alivyoingia jeshi akachaguliwa akasomee uinjinia wa ndege (aeronautics engineering, ambapo ana masters kwenye upande huo!). Mpaka sasa jamaa ni brigedia jenerali (kama sijakosea).
Alafu mzee yule ukimuona wala huwezi mdhania..! Very social!
Ni dhahiri unayosema. Huko kupanda cheo mwenye PhD vigezo vyake ni hizo publications!Unaweza kuwa na PhD ukiwa na masters mkuu pia usichukulie uproffessor ni level ya juu ya usomi PhD ni zaidi.uproffessor ni publication na research
You are logically correct, ila jeshini hawawezi kukusomesha au kukupa fursa ikiwa tayari ndani ya chombo ukasome hadi uprofesa??Kwa vile uprofesa hupatikana kwa kupanda cheo mtu mwenye PhD, uwezekano pekee ni mtu ambaye tayari ni profesa kutoka taasisi ya elimu ya juu kuingia jeshini akiwa tayari ni Profesa.
Si rahisi kihivyo lakini. PhD mtu akiwahi sana Itakuwa chini ya miaka 30. Kunaweza kuwa na exceptions chache. Kutoka PhD hadi Profesa kawaida ni miaka 9. Sasa mtu huyo kuingia jeshini atakuwa na miaka 40 tena yule aliwahi kabisa.
Hapo ndiyo Kuna kimbembe!
Hapana mheshimiwa, mkuu wa magereza ni mwanaume na kweli ni DoctorWapo wakutosha Dr mkuu wa jeshi kipindi cha mgomo wa ma Dr Muhimbili alikuwa anaitwa Dr,Prof,Brigadier general? ???? Namuhifadhi kwa wasiojulikana taaluma zote zilizo uraiani pia ziko jeshini.Kudhibitisha hili wakati waongoza ndege waligoma hawa jamaa kitengo cha anga walikwenda kushika usukani.Vyeo vyao ambavo ndio maarufu vinafunika vyeo vyao vya kisomi hawa jamaa hawana majivuno.Jeshi la Marekani tafiti za mambo ya tiba na anga zinafanyikia kwao. Enzi za Nyerere marubani wa ATC japo walikuwa wanaonekana raia lakini walikuwa wanajeshi.Hivi unajua mkuu wa jeshi la magereza ni mwanamke na ana phD?
Jamaa labda anadhani kuwa na PhD ninkuwa na masters nyingi!Umeuliizwa PhD we unaleta habari za Masters
Kuna mstaafu mmoja Major General Prof Kohi, aliwahi kuwa mkurugenzi CostecHabari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
Hawa watu basi wapo wachache sana.Kuna mstaafu mmoja Major General Prof Kohi, aliwahi kuwa mkurugenzi Costec
Jeshini wana vyeo vyao vya kijeshi. Uprofesa hupatikana kwenye taasisi za elimu ya juu. Hapo ndiyo kwenye detail yenyewe!You are logically correct, ila jeshini hawawezi lulisomesha au kulupa fursa ikiwa tayari ndani ya chombo ukasome hadi uprofesa??