Je kuna maprofesa na madokta (PhD) jeshini??

Je kuna maprofesa na madokta (PhD) jeshini??

Katika nchi zenye elimu bora huwezi kuitaja India kaka!.
Software engineering, wahindi wako juu,ila hardware ni vilaza.usiwadharau wahindi wamejaa silicon valay,China,Europe na Afrika.kampuni ya Google, Microsoft ndio ma CEO.
 
Pale Makao makuu Ngome wasomi wengi wana PhD ila unakuta tu wamezoea kuitana kwa vyeo vyao kama Luteni Kanali na sio Dr fulani....
 
Maelimu ya wtz hayanaga impact yoyote zaidi ya kugaiwa cheo.They don't solve critical problems of black people,they don't innovate neither invent new technologies. Tofauti ya waafrika waliosoma na wasiosoma hizo PhD ni madaraja ya vyeo,PhD ktk Afrika ni siraha ya kuwanyanyapaa wasiosoma has a ktk siasa.PhD za wenzetu huzitumia kuunda siraha Kali za kibailojia,siraha Kali za nyuklia,siraha Kali za kikemikali.PhD za kiafrika ni za Ku evaluate vitu vilivyoundwa na wenzao ulaya China,urusi,India nk.Mtanisamehe hill ndio jicho langu, hivyo ziwepo zisiwepo hazina impact.Prove me wrong!.
Kweli tupu hakuna Cha comment hapo
 
Ubora wa personnel jeshini ni kielelezo kimoja cha ubora wa jeshi na siku zote itabaki kuwa siri ya jeshi.
Ni sawa na kujua budget ya jeshi. Ni siri ya nchi.
 
Back
Top Bottom