Naona Smile siku hizi kwa kufunguka hujambo. Endelea kuinenepesha mama!ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.
Unainenepesha,mh haya ngoja niachie hapa maana naweza weka maneno mengine mwishowe wani-ban bureeee.:tongue:ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...

hivi loh huyo dada anafaidi nini hapo kwa jamaa...mimi kiukweli bro sipendi mtu wa kunikera kabisa ...maisha ni furaha bwana...sidhani kama hata huwa ana smile mdada wa watu ..heri tu anijoin kwenye ubachelor hata asmile kidogo...Smile hiyo ni kukata tamaa katika mambo ambayo yapo wazi
Ni maamuzi tuu na sio kwamba wanaume wote wako hivyo bana
Huyo naona amezoeshwa na huyo dada kufanya mambo hayo maana wewe unajijua kuwa kipato chako kidogo then unaenda kukusanya familia yako yote ya kwenu kutegemea mtu mwingine akulishie familia hiyo
Huo ni ulimbukeni na sidhani kama inatosheleza kusema kuwa wanaume wote wako hivyo bana
hivi loh huyo dada anafaidi nini hapo kwa jamaa...mimi kiukweli bro sipendi mtu wa kunikera kabisa ...maisha ni furaha bwana...sidhani kama hata huwa ana smile mdada wa watu ..heri tu anijoin kwenye ubachelor hata asmile kidogo...
huyu kufa kwa pressure kupo karibu..
mimi mjamaa kama huyu naweza mpeleka hata polisi afungwe hata mwaka...mimi mwanaume jinga jinga siwezi kwa kweli siwezi.....mwanaume wa kujua tu maisha magumu hadi aombewe? siwezi..Yeah kufurahia kwake hakupo
Na ndo maana tunasema fanya right choice usije ukakimbilia tuu mwanaume umemuona
Jitahidi kumsoma kabla hujampeleka kwenu kumtambulisha
The same sisi tunavyofanya
Siwezi kukutana na wewe leo nianze kukurupuka kukutambulisha na kuvalishana pete
lazina nikujue kwanza ni mtu wa aina gani
pole zake sana huyo dada
sio mmepungua hampo kabisaKweli nimeanza kuamini wanaume tumepungua siku hizi...
sio mmepungua hampo kabisa
Wewe mleta mada haya yanakuhusu nini? ni kwa nini usilete ya kwako? au wewe huna tatizo lolote kila kitu safi? hiki ndio kinaitwa kimbele front.