how?how gas consumption is increased?gas consumption increases;decreased space between car body and tire
gas consumption increases;decreased space between tire and the roof that covers the tire means less payload than before
Madhara yapo mengi tu..kwanza gari inakuwa inakula mafuta kuliko kawaida yake coz unakuwa imwiongezea mzunguko ambao haikutengezwa nayo lkn pia uimara wa brake zake unakuwa shakani coz muundo wa brake unaendana na ukubwa au size ya matairi...kwenye mteremko mrefu na mkali brake zinaweza kufail
Hamna madhara,sema gari lako litapoteza ile shape yake.
Madhara yapo mengi tu..kwanza gari inakuwa inakula mafuta kuliko kawaida yake coz unakuwa imwiongezea mzunguko ambao haikutengezwa nayo lkn pia uimara wa brake zake unakuwa shakani coz muundo wa brake unaendana na ukubwa au size ya matairi...kwenye mteremko mrefu na mkali brake zinaweza kufail
habari wana jf
je kuna madhara yeyote unapobadili rim ya tyre size 14 kwenda size 15 ili gari inyanyuke.naombeni mawazo yenu
Madhara yapo mengi tu..kwanza gari inakuwa inakula mafuta kuliko kawaida yake coz unakuwa imwiongezea mzunguko ambao haikutengezwa nayo lkn pia uimara wa brake zake unakuwa shakani coz muundo wa brake unaendana na ukubwa au size ya matairi...kwenye mteremko mrefu na mkali brake zinaweza kufail
kunawatu jf wabishi sana aisee??
mkuu madhara yapo bisha usibishe ila kwa jinsi wabongo tulivyokuwa wabishi tutaona kama hakuna tatizo..
kwanza unaweza ukashangaa baada ya kubadili tyre bering zikawa zinakufa mara kwa mara?
hari inaweza ikawa nzito haikimbii hapo sasa ndio na swala la ulaji wa mafuta ndio linaanza,
kila kitu kwenye gari kimepigiwa hesabu yake sema kwa ubishi wetu kuna vitu huwa tunapuuza sana.
hata gari body yake huwa inachoka sana