Dawa ya macho iliyotolewa sokoni na TMDA

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Habari wana JF,

Leo kupitia account ya swahili times nimeona juu kutolewa sokoni kwa dawa ya macho aina ya ‘XSONE N’ matoleo namba 69E00123 na 69D02323 inayotengenezwa na kiwanda cha Abacus Parenteral Drugs Limited (APDL) cha nchini Uganda.

Kwasababu inaonekana haijakidhi vigezo vya ubora( required standards) na wakaenda mbali kwa kuutadharisha umma juu ya uamzi huo na kuwasihi wananchi kutotumia dawa hizo ili kuepukana na madhara.

Sasa najiuliza dawa hizi ziliingia vipi sokoni?
Na je wana uhakika gani kwamba kila mtanzania anaweza ku access vitu mtandaoni?

Mimi nadhani ifike mahali, hizi mamlaka ziwe serious na maisha ya watu, waache kufanya kazi kwa mazoea jmn.

Mh. Rais anapambana sana kuifanya Tanzania kuwa mahali salama na pazuri pa kuishi lakin kuna watu waliokosa uadilifu ama kwa kujua au kutokujua wanaiangusha serikali.

Ushauri wangu.
TMDA tokeni ofisn shilikieani na mamlaka zingine kutoa Dawa hizi sokoni kwa vitendo, pia tumieni vyombk vya habari Tv na Redio kuwahabarisha waTanzania wote juu ya jambo hili na muwaeleze ni madhara kiasi gani wanaweza kupata endapo watatumia dawa hiyo.

IMG-20240304-WA0036.jpg
 
Mtoa mada unasikia matangazo ya hivi mara ngapi kwa mwaka????
Msipende kuwa mnalaumu hovyo bila kujua taratibu za mambo zinaendaje
 
NaShukuru kwa ushauri.

Naheshimu sana mawazo na mchango wako.

Kumbuka hapa tunazungumzia afya, uhai wa mtu.
Hzi mamlaka hazitakiwi kufanya kazi zake under propabilities. They must be hundred percent sure kwamba bidhaa husk ni sahihi.

Utakumbuka mwaka jana kuna dawa za maji za watoto pia zilitolewa sokoni.
Pia mwaka jana mwanzo walitoa viambata ambavyo visababisha kansa.
Sasa mambo kama.haya lazima tuseme kwakwel na bad enough wanakuja kutoa kitu sokoni wakat huo mamilion ya watu wametumia zaidi ya mara 1. Aisee
 
Kwa watu wanaohusika na masuala ya ugunduzi na utengenezaji wa dawa hilo ni jambo lililo kwenye utaratibu.

Inaitwa DRUG RECALL.
Dawa unaweza usione baadhi ya madhira wakati wa utafiti na mwendelezo wake kutokana na jamii inayokuwa imehusishwa kuwa ni ndogo au jamii tofauti wakati wa matumizi.

Baada ya kuipeleka dawa kwenye jamii kubwa ukatambua baadhi ya shida ambazo hazikuonekana mwanzo ndo maana huwa kuna POST MARKET SURVEILLANCE.

Hivyo, lazima na ni muhimu kujua kwa nini RECALL inafanyika kabla ya kulalama. Na kwenye recall kuna:
1: Most serious/dangerous
2: Potentially dangerous

3: Least dangerous.

Soma drug development, post market surveillance and drug recall kwenye FDA mbalimbali.
 
Habari wana JF,

Leo kupitia account ya swahili times nimeona juu kutolewa sokoni kwa dawa ya macho aina ya ‘XSONE N’ matoleo namba 69E00123 na 69D02323 inayotengenezwa na kiwanda cha Abacus Parenteral Drugs Limited (APDL) cha nchini Uganda.

Kwasababu inaonekana haijakidhi vigezo vya ubora( required standards) na wakaenda mbali kwa kuutadharisha umma juu ya uamzi huo na kuwasihi wananchi kutotumia dawa hizo ili kuepukana na madhara.

Sasa najiuliza dawa hizi ziliingia vipi sokoni?
Na je wana uhakika gani kwamba kila mtanzania anaweza ku access vitu mtandaoni?

Mimi nadhani ifike mahali, hizi mamlaka ziwe serious na maisha ya watu, waache kufanya kazi kwa mazoea jmn.

Mh. Rais anapambana sana kuifanya Tanzania kuwa mahali salama na pazuri pa kuishi lakin kuna watu waliokosa uadilifu ama kwa kujua au kutokujua wanaiangusha serikali.

Ushauri wangu.
TMDA tokeni ofisn shilikieani na mamlaka zingine kutoa Dawa hizi sokoni kwa vitendo, pia tumieni vyombk vya habari Tv na Redio kuwahabarisha waTanzania wote juu ya jambo hili na muwaeleze ni madhara kiasi gani wanaweza kupata endapo watatumia dawa hiyo.
Wengi tuna simu za bei kali kwa ajili ya kuchati tu, habari za Simba na Yanga tunazipata kwenye redio na Tv.
 
Kwa watu wanaohusika na masuala ya ugunduzi na utengenezaji wa dawa hilo ni jambo lililo kwenye utaratibu.

Inaitwa DRUG RECALL.
Dawa unaweza usione baadhi ya madhira wakati wa utafiti na mwendelezo wake kutokana na jamii inayokuwa imehusishwa kuwa ni ndogo au jamii tofauti. Baada ya kuipeleka dawa kwenye jamii kubwa ukatambua baadhi ya shida ambazo hazikuonekana mwanzo ndo maana huwa kuna POST MARKET SURVEILLANCE.

Hivyo, lazima na ni muhimu kujua kwa nini RECALL inafanyika kabla ya kulalama.

Soma drug development, post market surveillance and drug recall kwenye FDA mbalimbali.
Mkuu ahsante nimepata cha kujifnz hapa japo hoja yangu sijajua kama umeipata vzr. Niko upande wa watumiaj ambao ndio waathirika wakubwa. Kwann hao wataalam wasifanye kitu cha ziada ili kuprove.
Mbon tunaona nchi z wenzetu utafiti wa dawa tu unachukua mpk miaka 20. Na bado kabla ya kuruhusiwa sokon bado mamlaka husk zinafanya tena kuthibitisha ubora na kuona athari zake zina ukubwa kiasi gan ndo waruhus mkuu.

Ebu lione na hili.

Kubus drug recall kwakweli umenifumbua
 
Ukijitahidi kuelewa nilichoandika na ukatafakari vyema hutaweza kupata shida. Na wala hapa sisemi hakuna shida watu wamepata ILA ni vitu vinatokea kwenye drug industries. Kwa wenzetu huko mbele kuna dawa ambazo zilikuja kugundulika kuleta madhira ya kansa.
Nenda hata Marekani bado kuna recall, sisi ni binadamu kinachotengenezwa kinaweza kufaa jamii X na kuikataa jamii Y.

Ingawa post market surveillance inaweza kufanya dawa kuwa na matumizi mengime muhimu pia.

Huwezi kuita jamii zote dunia nzima kwenye trials. Ndo maana wewe unaweza kusema ALU nikinywa naenda kazini kesho yake bila shida, akinywa mwenzio anakwambia najisikia kufa. Hapa ndo umuhimu wa WATOA HUDUMA ZA AFYA na WATUMIA DAWA WOTE hutakiwa kutoa madhira ya dawa yoyote kwa aliyekuuzia dawa au TMDA ili kukusanya taarifa za dawa tunazotumia na mwenendo kwenye jamii.

Kikubwa tujue sababu ndo inaweza kukupa hili unalolifanya.
 
Ukijitahidi kuelewa nilichoandika na ukatafakari vyema hutaweza kupata shida. Na wala hapa hakuna sisemi hakuna shida. Ila nenda hata Marekani bado kuna recall, sisi ni binadamu kinachotengenezwa kinaweza kufaa jamii X na kuikataa jamii Y. Huwezi kuita sunia nzima kwenye trials. Kikubwa tujue sababu.
Naomba nifanye ivo ili kujielimisha zaidi.
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom