swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,479
- 3,613
Ni sawa na mwalimu bila andalio la somoSALAM KWENU NDG WANA JAMVI HBR ZA WEEKEND NA POLE KWA MAJUKUMU.
Kwanza niende moja kwa moja kwenye swali langu Nimeshuhudia viongozi mbalimbali wakiwemo marais kuandaliwa hotuba au kuandaa wao wenyewe mambo ya msingi waliyoyapanga kuyawasilisha ktk Hadhira na kuyaandika ktk Karatas au vifaa vya kisasa kama IPad hivyo Kiongozi huwa Anasoma pale na kukazia hicho alichokikusudia, Lakini wapo Baadhi ya viongozi Akiwemo mkuu wetu wa nchi nimemfuatilia Mara nyingi hotuba yake unakuta haijaandikwa mahali popote Huzungumza mwanzo hadi mwisho kutoka kichwani.Sasa watalam wa mambo haya ya hotuba na mambo mengine tujuzane Je!! Kuna faida gani ya Aina hii ya hotuba Isiyoandikwa mahali? na Hasara za Aina hii ya Hotuba ya kichwani ni Zipi??
KARIBUNI SANA
Duuu...Mkuu mbona umehamaki vile, uko namba ngapi kwenye orodha?Wewe ulitaka atoe kutoka wapi???
Maswali mengine ni ya kipuuzi
Lakini pia hotuba ilyoandikwa husaidia kuficha rabidity ya kiongozi.Ni sawa na mwalimu bila andalio la somo
Great thinker? No pleaseWewe ulitaka atoe kutoka wapi???
Maswali mengine ni ya kipuuzi
Yeah na ndio maana hatakiwi kuropoka ni lazima aandikiwe na Wasaidizi maalum ama aandike kisha ipitiwe na ikiwezekana ihaririwe na hao WasaidiziLakini pia hotuba ilyoandikwa husaidia kuficha rabidity ya kiongozi.
hizo ni faida nini hasara zakeMKWEPA KODpost: 20913830 said:Faida yake watu wanakujua vizuri tabia zako za ndani, kwa mfano ukisema tetemeko halikuletwa na ccm kila mtu achape kazi hakuna msaada wowote kutoka serikalini
Hatari IPO upande gani mkuu?? Hebu tupe kiundani kidogoHatari......
Hasara mojawapo ni kuumiza hisia za watu wengine kwa maneno makali na kuzorotesha mahusiano ya ndani na utangamano wa kimataifa.hizo ni faida nini hasara zake
Umenichekesha sana kwa Hiyo nje ya mitongozo mambo ya hotuba ya kichwani ni Hatari???Kutongoza tu ndio kunaruhusiwa bila kusoma the rest you've to get prepared ili usituletee mambo ya kisukuma, mniombee