Je, kuna kiongozi yeyeto wa Taifa jirani aliehudhuria msiba wa marehemu mwinyi?

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,994
8,370
Naomba kujulishwa hili

Ni Rais wa nchi gani aliehudhuria msiba wa hayati mwinyi kwa ukanda huu

Km hawakuhudhuria je ile dhana ya miaka ya 90 mwanzon na 80 mwishoni ilikuwa ni kweli kuhusu mwinyi?
 
Dhana ipi unaongelea?

Binafsi nimemuona na kumsikia Makamu wa rais wa Namibia akiwa msibani Zanzibar
 
Back
Top Bottom