JE KUNA FUNDI SIMU ANAETUMIA LCD SEPARATING FREEZER KWA DAR ES SALAAM

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Apr 5, 2018
1,883
1,900
Nimekuwa nikitafuta ni fundi gani mzuri anaeweza kufanya hiyo kazi ya detach hasa kwa hizi smartphones matoleo kuanzia 2018 maana kwa kariakoo bado sijaona fundi mzuri kwa mafundi nilio wafikia

Maana kuweza kutoa lcd tuu wanachukua hela nyingi sana kwa mwenye hiyo mashine Tanzania na ana fanyavkazi ya kutoa LCD tunaweza ongea nikaja nina hilo tatizo LCD kuliko kutumia zile mashine za kuweka mpaka ipate jotoo ndio utoe kwa kusita na huwa wengi wanatoa kwa kukisia na sio ufanisi

Naomba kama ni fundi na unatumia hiyo mashine kuna mteja hapa kwa dar es salaam naweza pata utatuzi wa hiyo shida
 
Staki kuamini kwamba DSM umezunguka ukakosa huduma mkuu... Au unataka kutuaminisha bongo hakuna hizo mashine au zipo ila hazitumiwi ipasavyo?
 
nimejaribu kuzunguka kariako na kuuliza mafundi ila wote wanatumia njia ya kutoa kupitia hot plate na hawana uhakika kama wanaweza fanikiwa kwa 100% wananiambia kwa ninavyotaka inatakiwa niweke 60% au 70%

na huenda mashine ipo ila mafundi bado wanatumia njia nyingine au huenda hawajui kwamba inatumika pia kutenganisha LCD za simu za edge na nyingine kwa urahisi maana nime jaribu kuangalia nikaona kuna mtu anauza hilo freezer kwa Tanzania ila ni zamani na ameandika out of stock huenda yupo mwenye LCD separating freezer ila anakula good time tuu

kwa namna hiyo nimeona niache tuu maana wataweza kuharibu kioo cha ndani kizima nikakosa kila kitu

Kama kuna mtu unamfahamu unaweza nisaidia
 
Nimekuwa nikitafuta ni fundi gani mzuri anaeweza kufanya hiyo kazi ya detach hasa kwa hizi smartphones matoleo kuanzia 2018 maana kwa kariakoo bado sijaona fundi mzuri kwa mafundi nilio wafikia

Maana kuweza kutoa lcd tuu wanachukua hela nyingi sana kwa mwenye hiyo mashine Tanzania na ana fanyavkazi ya kutoa LCD tunaweza ongea nikaja nina hilo tatizo LCD kuliko kutumia zile mashine za kuweka mpaka ipate jotoo ndio utoe kwa kusita na huwa wengi wanatoa kwa kukisia na sio ufanisi

Naomba kama ni fundi na unatumia hiyo mashine kuna mteja hapa kwa dar es salaam naweza pata utatuzi wa hiyo shida

unazungumzia simu aina gani maana kila aina ya simu kuna technology yake ya separate
 
Nimetoka kapa.
oowh ni kuhusu fundi mzuri wa kubadili LEDs za vioo vya juu sio display nzima kaka

Maana mafundi wengi wa kwetu hapa bado hawa tengenezi kwa uhakika kutokana na kuzunguka kwangu baadhi ya sehemu,kabla ya kutengeneza wanakupa 70% simu inaweza fanikiwa

hizo ni asilimia ndogo sana kwa simu kuwa nzimaa maana huyo mtu hana uhakika na anacho kifanya maana 30% nzima hiyo simu wanaweza haribu display ambayo ni ghali kuliko hicho kioo cha juu na ubaya gharama tena ni juu yako
 
Ok mkuu Roger Dat.
 
kkoo bana kila kitu kufanya ni kubeti tu.

labda kubadirisha screen protector ndio uhakika 100%.kuna s8 plus ilicrack touch nikataka kubadirisha,baada ya kumkuta fundi mmoja anavua glass touch ya A30,nikamuuliza akanambia tech ni tofauti.ile imekuwa rahisi sababu ina kioo,touch,halafu glass touch kwa juu,hiyo huwa inavuliwa tu hata ikivunjika na simu utaona inatouch uchi hivyo hivyo.
ila kwa baadhi ya simu hali ni tofauti ikiwemo hiyo s8 plus ya kwangu,yenyewe ina kioo halafu touch,kwahiyo kuivua hiyo touch ni kama kufanya op ya ubongo hivyo nimpe 130k,isipofanikiwa nimuongeze 230k tununue kioo mpya.

nikaghairi.
 
Boss hacha ushamba kariakoo zipo kibao izo machine wanachikufanyia hao watu unawaona mtaa ni kukuficha kuwa machine izo hakuna ili uwape simu yako wakafanye iyo kazi kwa watu wenye machine
Hakuna machine kariakoo za simu kariakoo hakuna tafuta mtu aliyopo ambaye siyo dalal kariakoo atakuonesha machine zote wakina nann wanazo
Kunamafundi wanamachinw mpaka za 30mil hapo kariakoo mafundi wanaenda china kila leo kufwata machine na kula kozi tofaut
Huyu ni moja tu anayo iyo machine kaweka kwny gari lake anatoa huduma kama iyo ata ukiwa tegeta anakufwata na kukuseparate kioo chako kwa njia ya frizing

hahahaha haya mzee jifunze limit ya maneno maana hatufahamiani ukarimu ni mzuri pindi ambapo hatujuani ila nimeona anavyoitoa lakini kwakweli nitatulia nitumie nyingine mpaka nikirudi nilipoitoa nitafix maana naona bei ya kioo nitaweza niambiwe hata 1.5 to 2laki nikapata hasira wakati kufix ingeni cost 50 elfu tsh niko mpole maadam display ni super no worries
 
kkoo bana kila kitu kufanya ni kubeti tu.

labda kubadirisha screen protector ndio uhakika 100%.kuna s8 plus ilicrack touch nikataka kubadirisha,baada ya kumkuta fundi mmoja anavua glass touch ya A30,nikamuuliza akanambia tech ni tofauti.ile imekuwa rahisi sababu ina kioo,touch,halafu glass touch kwa juu,hiyo huwa inavuliwa tu hata ikivunjika na simu utaona inatouch uchi hivyo hivyo.
ila kwa baadhi ya simu hali ni tofauti ikiwemo hiyo s8 plus ya kwangu,yenyewe ina kioo halafu touch,kwahiyo kuivua hiyo touch ni kama kufanya op ya ubongo hivyo nimpe 130k,isipofanikiwa nimuongeze 230k tununue kioo mpya.

nikaghairi.
yeah ni kweli kioo cha s8 nacho bei na kwa laki 80 nayo ghali kiongozi

na pia kutengeneza simu ufanisi kwangu namba moja sina haraka ya kutengeneza simu kwasababu nimemuona tuu fundi wengine anatengenza kimoja kesho unarudi na shida nne
 
Back
Top Bottom