Je kuna faida kuwa Gold member au Tanzanite member ?

Status
Not open for further replies.

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
jamani nimekuwa Gold member hivi majuzi, nimeona kuna wengine Bronze, wengine Senior experts , wengine Tanzanite na wengine Premium !

je kila class inakupa faida Gani ? ni kwanini ni muhimu kuwa Tanzanite kuliko kuwa Premium ?
 
Mbona kuna uzi wake humu unaelezea kwa kirefu sana.
Tatizo ni uvivu wa kusoma na kupenda mambo ya mkato.!

Mpaka unafikia hatua ya kuchangia lazima uwe umejiridhisha vya kutosha kuwa kitu unachokifanya unakielewa.!
 
Very simple!

[h=2]Changia Tshs 30,000/= Kwa Mwaka ili kuiwezesha JamiiForums na upate kuwa JF Gold Member, Ujulishwe kinachojiri kwa SMS BURE Mwaka Mzima --> Bofya hapa kwa maelezo zaidi[/h]
 
Mbona kuna uzi wake humu unaelezea kwa kirefu sana.
Tatizo ni uvivu wa kusoma na kupenda mambo ya mkato.!

Mpaka unafikia hatua ya kuchangia lazima uwe umejiridhisha vya kutosha kuwa kitu unachokifanya unakielewa.
!

nilichangia ili nipate SMS Alert za breaking news, na ninapata bila tabu.

nataka kujua zaidi ya faida hiyo kuna kingine naweza kupata ....wala huitaji nguvu kama hujui potezea mkuu
 
mkuu Safari ni kweli ukiacha hiyo faida ya SMS Alert za breaking news kuna chaziada.

Mbwembwe tu kama hizi

177862078.jpg
 
usipende sana kupima akili za watu..... umekua JF mda wa kutosha.... you should know much better than that......
ni kweli nimekua JF kitambo , In and Out, lakini si mwenyeji sana humu kama baadhi ya member ! najitahidi kujua zaidi na zaidi kutoka kwao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom