REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,451
- 9,373
Habari zenu wadau?
Poleni na majukumu ya kila siku.
Niende kwenye hoja ya msingi, tumekuwa tukiona wa mama waja wazito wakihudhuria clinick mpaka wakijifungua bado wamekuwa wakipeleka watoto wao clinick
Kuna miezi watoto hupata chanjo nk pindi mama ahudhuriapo clinick
Sasa leo nimekuja kuuliza swali je mtoto asipohudhuria clinick na kupata hizo chanzo kwa wakati kuna tatizo
Lolote linaweza tokea kwa mtoto ukubwani
Nauliza hivi kwa sababu nimeenda vijijini nimekuta watu wapo ila hawana huduma ya afya na nimekuta wazazi wana watoto wadogo nikaanza waulizia je mkitaji huduma ya clinick mnapata wapi wakasema wao suala la kupeleka watoto clinick huwaga hawajui.