Hapa pana maswali mengi,machache ni:
1.hicho chumba ni double au single
2.pesa yenu ni chache kiasi kwamba hamuwezi kulala kila mtu chake
3.je hapo mlipo enda vyumba vimejaa au hakuna gesti nyingine
nina mashaka na hii hoja kwakweli
Nani alisema ni kosa?
tatizo mtafirana