Je kulala chumba moja wanaume wawili kuna kosa gani?

Katika she ria za kiislam kulala chumba kimoja inaruhusiwa lkn kitanda kimoja kwa wanaume siio ruhusa,lbda wanawake
 
sioni tatizo mbona vyuoni tulilala wanne chumbani?
kama mnalala ili kusave hela haina shida...na muwe barchelors
ila kama umeoa haina maana sana heshima muhimu....
 
kama ni kitanda kimpja cha sita kwa sita iweje wanaume wawili wembamba msiruhisiwe kulala pamoja?

Mbona vyuoni watu wanabebana na vitanda ni vyembamba? Tufike mahali tufanye mambo bila kujali wengine wanawaza nini.
 
kutokana na hali ya sasa ambapo wanaume na wanawake wote wanaweza kuwa either me or ke, utaacha maswali sana

si enzi zile tukiwa bado hatujawa affected sana na usengenyaji na usagaji
 
Vyumba vya kulala wageni zina sheria zake na taratibu zake siyo kama kwako ambapo mnalala wawili chumba kimoja
kwanza wanazuia kulala watu wawili wa jinsia moja kama mwanaume kwa mwanaume kwa sababu mnaweza kulala sehemu moja na kuja usiku kuanza kufanya uharifu mkiwa wawili ndio maana wanakataza
Je kulala chumba moja wanaume wawili kuna kosa gani? Katika vyumba vya wageni guest house?
 
Hivi kwa maisha yetu ya kiafrika kuna kitu cha ajabu hapo? Ila kama mkuu Janjaweed alivyosema siku hizi mambo yamekua mengi.
 
Si sahihi kwa wanaume wawili kulala chumba kimoja period. Ukifanya hivyo tutajua kuna ushoga
 
Yaani chumba kimoja haijalishi ina double beds ama sinle ili mradi iwe chumba kimoja.
 
Sasa si ni hostel dada yangu? mbona swali limejitosheleza? sijasema sehemu nyingine nimesema Guest house ama vyumba vya wageni CHARMiglady
 
Last edited by a moderator:
Hostels za chuo na Guest house ni tofauti ndugu yangu elewa.#Deo Coerleone
 
watahoji nini? je nini maana ya Vyumba vya Wageni? Si viko pale kwa wageni wasio na majumbani pale? #Katavi
 
Arusha Na Mwanza Hawakubali kabisa hizi ni sehemu mbili nilizozikuta hizi miiko.. kwani vijana wa pinda huingia usiku wa manane kukagua vyumba hivyo na mkikutwa wawili chumba kimoja utapata tabu. hata kama ndani kuna vitanda viwili.. sintosahau Ngarenaro tulitupwa central usiku huo wakati nimetokea shuleni..#Mungai Msele
 
Back
Top Bottom