Kwa nayakati tofauti tofauti imewahi kuwasikia kina mama wawili (ambao ni wauguzi) wakiwakaripia vikali sana watoto wao kwa tabia yao ya kula ndizi mbivu kama mbadala wa chakula wakati wa mchana; wakati watoto hao wakiwa shuleni. Sikufanikiwa kuwadadisi wale kina mama.
Naomba kujua madhara, hususani ya kiafya, yanayoweza kumpata mtu kwa kula ndizi mbivu ili kuganga njaa. Karibuni kwa michango.
Naomba kujua madhara, hususani ya kiafya, yanayoweza kumpata mtu kwa kula ndizi mbivu ili kuganga njaa. Karibuni kwa michango.