Kusini pride JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 1,762 Reaction score 4,071 Apr 5, 2024 #1 Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 828 Reaction score 2,229 Apr 5, 2024 #2 Mali ya umma ni kwa maendeleo ya umma na si binafsi, kunawananchi wanahenyeka kwa kukamuliwa kodi ili kuhudumia nchi
Mali ya umma ni kwa maendeleo ya umma na si binafsi, kunawananchi wanahenyeka kwa kukamuliwa kodi ili kuhudumia nchi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,982 Reaction score 119,500 Apr 5, 2024 #3 Ni wizi kama wewe siyo kada wa ccm.