Je "kuchimbuka" kuna determine aina ya mtoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je "kuchimbuka" kuna determine aina ya mtoto?

Discussion in 'JF Doctor' started by NewDawnTz, Oct 24, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katika pilika za maisha mjini nillikutana na stori ambayo ni mpya masikioni mwangu kutoka kwa watu wazima zaidi yangu na kuniacha na maswali mengi sana. Naomba ufafanuzi wa kitaalamu kutoka kwa madaktari.

  Ndugu hawa wanasema upatikanaji wa aina ya mtoto (kwa maana ya jinsia) unategemea na mtu anavyoingia "chimbo". Kama ni mvivu wa kazi basi huwezi kupata mtoto wa kiume bali utaishia kupata mtoto wa kike na kama ukimuona mtu ana watoto wa kike watupu basi ujue huwa ni mvivu sana wa yaleeeee mambo yetu yale. Na kwa stori zao wanasema kuwa kama unataka dume inabidi wakati wa ejaculation ya first round umwage pembeni na ya pili kwa kuwa ina "kasi" zaidi ndiyo umwagie kwa kuwa speed yake ndiyo nzuri kuleta mtoto wa kiume....

  Jamani madaktari hebu mnisaidie maana nina ka baby girl na ningependa wa pili awe wa kiume, is this scientific thing to believe au ndio porojo zetu baada ya kuvimbiwa kahawa? Dr. Riwa & Co Msaada unahitajika hapa ili kama zeze kuanzia leo cha kwanza kitoe adhabu ya kufua cha pili na tatu kitafute mtoto....

  Ombi: Mods naomba msiahamishie jukwaa la kikubwa, sina access nako na sitaki kuwa na access nako....teheheee
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Soma makala hii hapa chini labda itakusaidia

  What The Experts Have To Say
  Now we have heard the Old Wives Tales, lets see what the experts have to say about determining the sex of your baby.
  First of all we need to realize that there is no way to guarantee that we can determine the sex of your baby, but what we can do is look at the theory of conception and the male sperm in order to try to determine what the possible outcome of the sex of your baby may be, and how you can go about "planning the sex of your baby".
  Here is what we do know:
  [​IMG]
  The 'male' sperm cells swim quicker than the 'female' sperm cells. What this means is that a male will produce two different kinds of sperm cells, those which would create a boy and those which would create a girl, and the 'male' sperm will swim quicker than the 'female' sperm.
  [​IMG] The 'female' sperm will remain alive inside the women for a longer period of time than the 'male' sperm.
  [​IMG] The female egg produced by the women will only be fertile for a short period of time, about 24 hours, once it has been released when she ovulates.
  OK, so that is the basis for the theory. Lets see how this is going to allow you to choose the sex of your baby.
  If you want a boy:
  We know that the 'male' sperm cells, which carry a Y-chromosome, swim more quickly than the 'female' sperm cells, which carry an X-chromosome, but will die off faster as well, so you and your partner will have to be sure that you are as close to 100% certain that you ovulating, then you would have sex closer to that ovulation date.
  This allows the faster swimming 'male' sperm to swim off to the waiting female egg and fertilize it before the slower swimming 'female' sperm reach their destination.
  If you want a girl:
  Well, it is really simple now that you see the pattern. If are planning for a girl then it is best to make love at least two days before you ovulate, as this will allow the faster swimming 'male' sperm to swim off, burn up their energy and die off, leaving the slower swimming ''female' sperm to arrive to a ripe and ready female egg that is still waiting to be fertilized.
  Other factors to bear in mind:
  [​IMG]
  Men should refrain from any kind of sexual activity for at least 2-4 weeks prior to the set date of your ovulation.
  [​IMG] You could bathe your partners testicles in cool water, as a lower temperate is more appropriate for strong healthy sperm cells. Just also be aware not to make it too cold, as too cold a temperature may have the same effect as a high temperature.
  [​IMG] Males should wear loose fitting boxers, as opposed to the traditional underwear for the reasons mentioned above.
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  NewDawnTz...hicho ulichosikia au kuamini si kweli. Nguvu/uwezo/ujuzi wako katika tendo la ndoa si kitu kinachofanya upate mtoto wa kike au wa kiume. Haihusiani kabisaaaa.

  Kama HorsePower alipokujibu hapo juu, kinachopelekea mtoto kuwa wa kiume au wa kike ni chromosomes. Kila binadamu ana chromosomes za aina mbili yaani XX kwa wanawake, na XY kwa wanaume. Na kila binadamu anarithi aina moya ya chromosome toka kwa kila mzazi. Wazazi wa kike (mama) kwa sababu hao wana XX chromosomes tuu..basi mtoto hapo atarithi chromosome moja ya X tuu. Na kwa wazazi wa kiume (baba) ambao wao wana XY chromosomes..basi mtoto atarithi aidha X na hapo atakuwa mtoto wa kike, au atarithi Y na hapo atakuwa wa kiume. Mpaka hapo hamna ujuzi wa tendo la ndoa.

  Chromosomes toka kwa mama zinabebwa kwenye yai la kike kutoka kwenye ovaries, na kwa kuwa wanawake ni XX basi mayai yote ya kike yana chromosome X.

  Chromosomes toka kwa baba zinabebwa kwenye seli zilizopo kwenye shahawa, na kwa kuwa wanaume ni XY basi kwenye shahawa kuna seli zenye chromosome X na zingine chromosome Y. Hapo inategemea seli gani imewahi kurutubisha yai (ambalo mara zote ni X) ili kupata mtoto wa kike au wakiume. Mapka hapo hakuna ujuzi wa kwenye tendo la ndoa.

  Pia si kweli kuwa goli la pili ndio zuri kutungisha mimba. Inakadiriwa goli moja lina seli/mbegu za kiume zaidi ya millioni moja, na ni moja tu inahitajika kurutubisha yai na kutungisha mimba. Iwe goli la kwanza au la pili au la tatu! Japokuwa goli la kwanza lina mbegu nyingi kuliko magoli yanayofuata, na hivyo goli la kwanza ndio la uhakika zaidi.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  duh nina babu yangu mdogo ana wa watoto wa kike 10! Sijui alikua mvivu
   
Loading...