Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
Wanaume tunabakwa kisaikolojiaHivi wanaume nao huwa wanabakwa??
Ndio!!! Unanyweshwa tu dawa ya kunyanyua nanii na ya kukulevya!! Mwanamke anafanya yake akimaliza anasepaHivi wanaume nao huwa wanabakwa??
Usiwatie moyo bali kemea uovu huu paprikaYaani ukikutana na feminist wa haja anakurepoti kwa kesi ya ubakaji. Muangaliage na watu wa kuwafanyia hivyo
Mbona wanitisha wewe!!Ndio!!! Unanyweshwa tu dawa ya kunyanyua nanii na ya kukulevya!! Mwanamke anafanya yake akimaliza anasepa
Ni onyo tu! Siwatii moyo.Usiwatie moyo bali kemea uovu huu paprika
Ndicho kilichobaki
Usitishike bana! Ndo matokeo ya kuangalia movies kwa wingiMbona wanitisha wewe!!
ila huyu Paprika huyu... sina imani nae.. mbona mtundu hv..!!!Ulimuonea huruma tu mkuu kwa sababu ni mkeo na mlipanga hiyo ishu!!!
Mwanamke wa kawaida ata afanye nini hawezi mzidi mwanaume anaefikiria na kichwa cha chini. Kuna sehemu akikushika kwenye mabega hufurukuti, unalegea kama matembele yalionyauka.
Usijekuwa mzoefuUsitishike bana! Ndo matokeo ya kuangalia movies kwa wingi
[emoji23][emoji23][emoji23]Usijekuwa mzoefu
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]