Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

Kwahiyo ana siasa za kukomoana? Mwambieni hatoboi, badala yake atatoboka.
 
Aisee umeongea kweli. Kuna kafununu ka kutaka kubalance mambo
 
Atapumzika kwa amani. Acha aendelee kukaza shingo.
Dua la kuku halimpati mwewe....

Baki na maombi yako yasiyofika hapo DARINI by the way ingekuwa kila ombi linakubaliwa basi DUNIA ISINGEKUWA ILIVYO....

Mh.Rais aendelee kuchapa KAZI...Aaamin!

#UkinizinguaNitakuzingua
#KaziInaendelea
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiUtulivuWaJMT
 
Tulikuonya Jiwe akakaza shingo nini kilimtokea. Mlisema hivyo hivyo mwisho wa siku Mpingo ulianguswa na Shoka butu
 
Kwahiyo ana siasa za kukomoana? Mwambieni hatoboi, badala yake atatoboka.
🤣🤣Umeshashiba KANDE zako unatumia maneno ya MDUDE NYAGALI kumtisha Rais ha ha ha ha ha ha ha

Kesho asubuhi mpelekee VITUMBUA John Pambalu....
 
Tulikuonya Jiwe akakaza shingo nini kilimtokea. Mlisema hivyo hivyo mwisho wa siku Mpingo ulianguswa na Shoka butu
Kipenzi chetu JPM yuko mbele za haki(RIP)...kifo SI ADHABU...

CCM bado ipo...
JMT bado ipo milele....
 
Zipo taarifa kwamba Sasa hivi wanapambana na wachaga lakini pia wanakazana kuwaweka waislamu maeneo nyeti ikiwemo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Nafasi za juu huko zimejazwa kwa msingi wa kubalance dini na hata makatibu wakuu Wana maelekezo wanapopeleka majina lazima liwepo la dini flani ikiwa Ni malalamiko yaliyotokea kipindi kilichopita ambapo wakatholiki ndo walipewa kipaombele.

Tatizo la huu mfumo ni kuokoto yeyote ukampa nafasi, rejea nafasi ya DG wa Takukuru wa Sasa, kilichotumika kumpeleka pale nikukosekana kwa ustaadhi.

Tusubiri teuzi zinazofuata. Hivyo uwezi kutenganisha mapambano dhidi ya watu wa kaskazini kwa sababu sukuma gang bado tupo maeneo nyeti na tunataka kumweka Rais wetu kwa awamu nyingine, lakini pia usipowadhoofisha watu wa kaskazini bado itakuwia ngumu kutawala maana wameshika uchumi.

Hali inavyozidi kuwa mbaya lazima waanze kuchungulia akaunti za wachaga na wahindi kutaifisha Mali. Hii Vita ya Ugaidi na udini ipo na inaunganishwa na ukabila. Sisi wa kusini kuchele, mwakeeye
 
Wewe ni mtu hatari sana,maana unatafuta kwa jinsi yoyote ile kuligawa taifa ama kidini au kwa ukanda kisa Mbowe!
Ila nikwambie mapema kabisa kwamba sisi watanzania siyo wapumbavu.

Mama yetu ameonesha moyo wa kutaka maridhiano na kusema ukweli amejishusha sana.Badala ya Mbowe kuona jambo hili kama grace tu,yeye aliamua kujikuza na kujaribu kutunisha misuli kwa mtu ambaye hakuwa,na nia ya kugombana.
Sasa sijui mlitaka mama yetu ajikunyate kama mnyonge akifuata amri za Mbowe?
Mimi ni mwananchi wa kawaida wala sina interest yoyote na ccm,wala hata ndugu anayefaidika na ccm,kwa namna yoyote sitarajii hata kupata mia moja kutoka ccm au hata serikalini,ila nilichukizwa sana na tabia ya Mbowe kutaka kuanza siasa za kibabe bila sababu.Mbona kwa mbabe Magu aliufyata?Hii nchi acheni jamani ipumue sio kila siku kukinukisha tu
 
Asiwe mtu hatari anayebambikiza kesi watu awe hatari mtu anayelalamikiwa Ubinywaji wa haki?
 
Tulia wewe mchumba! Masheikh wamekaa jela miaka nane mlikua mkicheka tu, Mbowe hata wiki hajamaliza mshaanza kuwashwa, Halafu haya mambo Ukaskazini yameingaje hapo. (Achana na propaganda eti "upeo" yaani unaamini kwamba wachaga wana upeo zaidi ya Watanzania wengine?).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…