Kama ni mashirika ya kizungu wakikuambia utaje na ukataja million TANO watakupa kweli million TANO.. Mishahara inapangwa na management hivyo kiasi cha mshahara utakijua kabla ya kusign mkataba wako. Piga interview fresh kwanza ukachukue hizo million mbili zako au tatu au nne