Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,451
- 4,948
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo Cha kokoa na wataalamu wa kilimo hiki
Asante boss na soko lake lipo vipi?Muheza maeneo ya mashewa.
Morogoro maeneo ya muhonda mpaka milima ya unguu mpaka mdela huko,na maeneo ya safu za milima ya uluguru na maeneo ya mbingu pia
Mbeya vijiji vinavyopatikana katika wilaya ya kyela.
Kwa kuanzia hiyo ndiyo ramani ya kilimo cha kokoa Tanzania.