Watu wengine hawana akili sawa swa
Ailyewaambia hilo baraza ni huyo MTALII ni nani?
Hivo kwani mnadhani moyoni amependa achague vile?
Inaonekena watu wengine hamsomi alama za nyakati.
Rais ni mwingine, JeyK ni waziri wa mambo ya nje, Membe waziri kivuli
Inaonekana umekunywa pombe mchan bila ya kula chakula zimepanda haraka kichwaniWaislam walikuwa na taasisi nyingi na shule nyingi sana tanzania nzima ( Tambaza, Azania, Dodoma Secondary) muulize mhe Hashim Saggaf au Sango Kipozi walisoma Dodoma Secondary ilikuwa shule ya nani. Shule hizi zilikuwa classic. shule hizi zilitaifishwa na serikali na mpaka leo hii zipo chini ya serikali huku serikali ikiwacha kanisa likichanuwa. Ni kweli lakini Kikwete angepata fursa ya kusoma ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fursa sawa na za kiroma.
Nyumba nyingi za NHC ni za waislamu zilitaifishwa enzi za uhujumu uchumi ili kukwamisha maendeleo ya waislam ukizungumza ukweli wewe mdini mnataka waislam wakubali kuimba mapambia wakiingia kwenye ofisi za umma maana kuna vinanda vinalia kila ofisi ya serikali na mauwa ya chrismass acheni hizo chuki. Waislam walishakubali siku nyingi ila nyie mnachokonoa waseme...
ume heat, lazima kuwe na kelele nyingi tu. Kikwete ni msimamia haki na ni jasiri asiyeogopa kelele za mapadri. Ukweli ni kuwa ukisimamia ukweli na kuweka uwiano sawa ktk tz waonekana ni mdini hasahasa kama ni muislamu.
Wenzake wanakwenda shule za maana yeye ameng'ang'ania kuwa mwalimu wa madrasa ukimuuliza kamaliza level gani atakuambia alimaliza form 2 kinondoni muslim sec.
ni kicheko na kituko cha mwaka pale mwana jf anapo compare 64% dhidi ya 36% kwenye baraa la mwairi...........ukweli uko hivi, kwa kuwa wislamu ni watu wa madrasa na sio madarasa basi hatukutegemea kuwaona idadi kiasi hicho....kwa upeo mdogo na ushawishi wa dini ni rahisi mtu kuja n kupotosha ukweli kirahisi kbisa............
1. wanaomalia vyuo mblimbali nchini waislamu ni 5%-10% wakati wakristo ni kati ya 93%-100%
2. ukienda kwenye taasisi mbalimbali au wakati wa kuomba kazi wahusika w taasisi na makampuni hupokea 90%-100% ya maombi ya kazi wakiwa wakristo na wnaobaki ni waislamu na wasio na dini
3. ukiangalia hata takwimu za mtokeo ya mitihani ya shule na vyuo za kiislamu....waislamu wanadeli kwa zaidi ya 75% wakati wkristo katika shule na vyuo ufaulu huwa zaidi ya 70%
4. Waislamu wanaofaulu interview huwa ni kati ya 5%-10% wakati wakristo huwa kati ya 50%-85%
SWALI!
Wakati takwimu zinakataa kutokana na uvivu wa waislamu (ndiyo maana wanapenda vya bure-oic na wanataka serikali iendeshe dini yao-UVIVU WA KUPUNDUKIA)....INAKUAJE HAOHAO AMBAO HAWAONEKANI SHULENI AU WAKIONEKANA BASI WAMEFELI VIBAYA NA WANAKUWA HAWAFI KATIKA SEHEMU NYINGI IONEKANE WANAFAA SANA KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI AU ZILE NFASI ZA KUTEULIWA NA RAIS MUISLAMU.........SISI TUNASEMA MWENYE HAKI APEWE HAKI YAKE NA HATA KM NI MTOTO WAKO UNAMPA ELIMU YEYE KAAMUA KUSHINDA VIJIWENI HWEZI KUWA SAWA NA YULE AMBAYE AMEAMUA KWA DHATI....WAISLAMU KWA JINSI WALIVYO WAVIVU ILIFAA WAWE CHINI Y 5% KWA KUWA NDIVYO WALIVYOLELEWA NA HAWATAKI KUJIKOMBOA WENYEWE MPAKA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU NA AMBYE AMEAPA KUWASAIDIA WAISLAMU APATIKANE NDIPO AANE KULAZIMISHA.........
HEKO KIKWETE ULIYEAPA KUFA NA DIDI YAKO KWA GHARAM YOYOTE IKIWEMO KUMWAGA DAMU....TUKO TAYARI KUMWAGA DAMU.
Mi naamini kwa kiasi kikubwa kuwa kikwete anataka kutugawanya watz kwa imani zetu. Haiwezi kuingia akili kwetu kuwa raisi mara zote anaihusisha CHADEMA kuwa nichama cha kidini. Kwa maana ya chama cha kikristo. Lkn bado hatuambii kuwa CCM na CUF ndivyo vyama vinavyoendekeza udini. Kampeni za CUF zinafanyika kwenye misikiti. Lkn huyo huyo raisi bora hakiongelei. Udhaifu wa kikwete kuhusu suala la kidini ambalo halipo kuendelea kuushadidia hili linaonyesha kuwa raisi wa nchi ama anashauriwa vibaya ama analitumia suala hili kuonyesha kuwa anajali; si anajua udhaifu wa watz?
Kiongozi wa nchi kuongelea suala la udini pale ambapo halipo, inaonyesha udhaifu wake. Ama ni mvivu wa kufikiri au anashauriwa vibaya. Au zaidi anasikiliza ushauri wa mke (m/ke) kuliko washauri wake. Sitegemei kuwa anampata nafasi kubwa mkewe na kama anafanya hivyo basi hatuna raisi.
Huwezi kupata ushauri wa maana kutoka kwa mwenzi wako awe m/ke au m/mme kama raisi ni m/ke ukawa ushauri wa maana hata ungekuwa mzuri kiasi gani. Bora ukapata ushauri mbovu kutoka kwa washauri wako ukaonekana umeshauriwa vibaya kuliko kupata ushauri wa kutoka kitandani kwenu.
Hili Mwalimu alishawahi kulizungumzia sana na madhara yake tulishayaona. Hatuna maana la kuliongelea. Na kama raisi anakwenda kwa viongozi wa imani yake ili wamshauri jinsi ya kuongoza na hapo kuna tatizo kubwa. Je, wakikushauri uongoze kwa misingi ya kikristo au kiislamu na wewe unajua kuna wengine hawana imani za namna hiyo itakuwaje?
Mkuu hapa jamvini swali kama hilo haliwezi kujibiwa sana sana utaambiwa crap!hapa jf unatakiwa uje na post zenye mapambio ya kumsifu bwana slaa na cdm yake ole wako uandikie sijui slaa ni padre au hajaoa utashukiwa kama kifaranga cha kuku kinavyoshukiwa na mwewe.Inasikitisha kuona una imani ya namna hiyo; and you are a great thinker that is why you are here.CHADEMA kiutendaji kinaongozwa na Dkt Slaa ambaye ni Padre. Iringa Mbunge Padre. Kampeni za Dkt Slaa zilikuwa zinaanza kwa mapambio ya kwaya za kumsifu Bwana. CUF na wao wanapiga za kidini kule Ntwara. Sasa sijui unakubali kwamba CDM kina udini? Au unakataa? Au ndio kikwete?FAFANUA
Nilidhani Kawambwa ni muislamu, ila Sophia Simba ni Mtoto wa kiislamu kuzliwa ila ni Mkristo kukuzwa , sas sijuikama wengine pia umepatia au ndio umefuata majina zaidi!