Je, kichuguu hutumika kishirikina?

Je, kichuguu hutumika kishirikina?

PLEASE, SIKILIZA HADI MWISHO USHUHUDA HUU WA KUSTAAJABISHA, UTAJIFUNZA KITU

 
Kuna siku nilienda kwa mganga wa kienyeji nilipelekwa kutafuta mafanikio duuh nilichokutana nacho eti nitafute kichunguu kilichokufa ambacho hakina mchwa. Nimemuacha hapo hapo Sangoma ananisubiri nirudi sijaenda tena.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Elima pana na wenye elimu hawataki wajulikane Kama wanaelimu
 
Heri ya uzima ndugu zangu!!!

Leo ningependa kujifunza mengii Kama sio machache kutoka kwenu ndugu zangu.
Nimekuwa nikisikia baadhi ya story pembeni ila sio kwa kina zaidi, yakwamba vichuguu hivi vinavyo kuwa makazi ya mchwa, hutumika kwa njia za kishirikina kwa namna tofauti tofauti. Pia huweza kutumika kumfunga mtu kishirikina🙁🙁...

"Je kuna ukweli ktk hili au inawezekana sio mm tu nilie bahatika kuyasikia hayaa🤔🤔??
cc: Zitto Kabwe, Diamond Platinumz, Juma Kaseja na Waha wote popote walipo hili linawahusu
 
Basi dunia Ina mambo, nje kwetu kulikuwa na kichuguu Basi Bibi yangu akasema kisawazishwe tuwe tunalima hapo mbogamboga huwezi kuamini hata wakati wa jua tulikuwa tunakula mboga hasa mboga ya maboga Ila sikuwa najua Kama kina maajabu nilikuwa nasikia tu majirani ndo wanasema hapo munapolima Kuna kichuguu ndo maana mboga hazikauki.
 
m kuna nyumba napanga kila cku nafagia kchuguu ndan na knapanda kwa kasi balaa na nyumba n ya kisasa ila cjui kama inahusiana na ushirkina mana mzunguko wa kipesa umekua mgum mno
 
Back
Top Bottom