Je, kichuguu hutumika kishirikina?

Je, kichuguu hutumika kishirikina?

FOX21

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
496
Reaction score
930
Heri ya uzima ndugu zangu!

Leo ningependa kujifunza mengii kama sio machache kutoka kwenu ndugu zangu.

Nimekuwa nikisikia baadhi ya story pembeni ila sio kwa kina zaidi, ya kwamba vichuguu hivi vinavyokuwa makazi ya mchwa, hutumika kwa njia za kishirikina kwa namna tofauti tofauti. Pia huweza kutumika kumfunga mtu kishirikina🙁🙁

"Je, kuna ukweli katika hili au inawezekana sio mimi tu nilie bahatika kuyasikia hayaa🤔🤔?
 
Ni kweli kabisa, kichuguu kina habari kubwa katika falme za giza.
 
Mkuu samahani tunaomba elimu hapo kidogo ili na sisi 2elimike ndio dhumuni.
Mkuu ule udongo ni sehemu ya row materials tu kati ya mengi yanayotumika korogea.

Mimi si mtaalamu wa hayo mambo ila kuna kipindi nilkua kwa mganga sasa katika harakat za kusaka dawa ndio akawa anatuelezea hayo.
 
FYI: Wachawi & washurikina can use anything kwa ajili ya ushetani wao --- depending on dispostion yake. You need to know that superstition, sorcery witchcraft ni almost exact opposite ya miracles. Na hizi hufanywa kwa maneno au matendo au both -- they can be physically or metaphysically manipulated. There is absolutely nothing supernatural power cannot achieve provided God has permitted it.
 
Ndiyo, hapa sio muda naenda kumkaangia radi. Wameiba PC.
 
Back
Top Bottom