Nisaidieni kunipa maarifa/elimu ya jinsi ya kutumia keygen, crack kufungua au kuzibua software kwenye pc. Nimedownload keygen, ikaja katika winrar. nimei unzip imenipa mafaili matatu. hapo nimekwama sijui niendelee vipi. Msaada please!
screen shot hizo contect ,keygen -huwa inatoa keys kama umenunua soft,crack inaweza kuwa patch exe unaoverwrite the installed prog,hack ni unallowed pass
Nisaidieni kunipa maarifa/elimu ya jinsi ya kutumia keygen, crack kufungua au kuzibua software kwenye pc. Nimedownload keygen, ikaja katika winrar. nimei unzip imenipa mafaili matatu. hapo nimekwama sijui niendelee vipi. Msaada please!
Mkuu swali lako halijakaa vizuri
Keygen ni kifupi cha cha keys generator yaani kazi yake ni ku generate keys za software husika
Crack ni kuichakachua software husika kwa kumodify ili itumike bila keys
Ingekuwa vizuri ukisema umedownload software ipi na ikawaje

Nili-download Sony vegas movie studio 4.0 Trial. Pia nikafanya hivyo kwa Pinnacle Studio 9 Plus Trial. Web niliyopatia hizo crack ni Keygenguru.com. Ktk web hii unaweza kupata serial lakini wakati mwingine wanakua link ya kupata crack kwa software yako.

mkuu kama ulisearch katika hiyo website basi lazima watakupa option mbili endapo wanazo hizo keys..ya kwanza watakupa option inayosema "show serial number" au option ya pili inasema "download crack/keygen".huna haja ya kudownload crack/keygen sababu ukiingiia kwenye option ya kwanza huwa mara nyingi wanakupa keys zaidi ya moja so wameshakurahisishia kazi..so cha kufanya wewe tumia hizo keys zao tu..
kama ulisearch keys alafu wenyewe hawakukupa majibu wakakupa links za kuangalia hizo keys ambazo zinakudirect kwenye website nyingine basi kuna hatihati ya hizo keys kutofanya kazi sababu hawa jamaa keys zao huwa zinafanya kazi ila kama wakiona keys zinazingua hawaziweki kwao badala yake wanakupa link ili wasiharibu jina lao.mimi nimekuwa nikitumia hiyo website kwa muda sasa na mara nyingi nikitumia huo mpango wa link wanazozitoa huwa sifanikiwi. jaribu kuangalia hizo keys kwenye hapa .
Ukija kwenye swala lako kutaka kujua maana ya keygen na crack ndugu zangu waliotangulia wameshakueleza vizuri kabisa. labda kama unataka maelezo zaidi useme ni wapi hujaelewa.