The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,331
- 51,754
Hiyo computer ikizimiwa umeme na Binadamu ndio kwisha habari yake.
Hizo quantum computers zinakuwaje na zinafanya kazi gani?Ni suala la Muda mfupi tu kabla AI (Computer) haijaimpita binadamu kwa Kila kitu... kwa sasa imempita Binadamu kwa narrow intelligence tutakapo fikia kutumiwa Quantum computers zitatushinda kwa General Intelligence...
Umenikumbusha ile interview alofanya jack ma na elon musk kule china. Jack Ma aliongea pumba sana japo khs hili la binadam kuzidi uwezo wa kiakili computer alikua sahihi.Wakuu,
Matajiri wawili wakubwa duniani waliwahi kutoa maoni yao juu ya uwezo wa computer;
Elon Musk yeye alisema computer ni smart zaidi ya binadamu kwenye maeneo mengi
Jack Ma yeye alisema Computer zina uwezo lakini binadamu ni smart zaidi kwa sababu binadamu ndio aligundua computer lakini hakuna computer imegundua binadamu;
Mimi nadhani wote wako sawa;
Nini maoni yako?
Credits;Quora forumView attachment 2032925View attachment 2032926View attachment 2032927
Japo mimi sio professor ila binadamu tunazidiwa mbali na compute.. ukizungumzia computer jua unazungumzia muunganiko wa watu wengi wenye akili
Napata mashaka kama kwenye hilo kundi la watu mnaowa compare na computer na mimi nimo aiseee mtakua mnakosea sana
Mimi sijui hata umuhimu wa kua na nywele
Ni kweli kabisaKompyuta kazi yake ni kufanya processing ya instructions za program mbalimbali. Program hizo zinaundwa na binadamu na program ya kompyuta huwa smart pale inapokuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi na tofauti tofauti hivyo smartness ya computer inategemea namna ambavyo ipo programmed. Na sidhani kama kuna siku binadamu ataweza ku program kompyuta beyond upeo wake mwenyewe.
Komputa inamzidi binadamu kwenye ufasaha katika utendaji wa mambo. Mfano, kompyuta ikiwa programmed kuhesabu 1 hadi milioni 1, basi itafanya hivyo bila makosa tofauti na binadamu.
Gari inategemea uwezo na maarifa ya mtu ili iweze kukimbia, nikitaka mwanadamu akimbie kuliko gar inawezakanaHio pekee haitoshi,kwani gari si imetengenezwa na binadamu,sasa nikuulize kuna binadamu anaweza kukimbia spidi kuizidi gari?
Alieleta huu uzi humu inatakiwa akapimwe. Akili pengine hana akili nzuri au pengine labda zimefyutuka.....kwa akili ya kawaida ukalinganishe divice inayotegemea programer zinazotengenezwa na binadam uyouyo katika kurahisisha kufanya kaz zako? Basi tufanye hata gali ina akili kuliko mtu, mashine za kusaga zina akili kuliko mtu, maana ulitakiwa utwange utoke unga ila ukiweka dakik unga ushatoka, au mashine zoote ambazo zinazorahisisha mambo zinaakili kuliko binadamu wewe ulieleta uzi huu!!!! Alafu kumbe wazungu kuna muda hua wanatutoa akili kwa wapuuz wachache. Alafu Mungu anatakiwa akulani hata kidogo ili huwe na adabuila baba naomba umsamehe kwakua hajui alitendalo yeye pamoja waliojadili jambo hili. J pili njema na aman ya bwana iwe pamoja nanyi.Ni kweli kabisa
Binadamu waliotengeneza computer wapo smart zaidi kuliko computer, lakini sio binadamu wote kwa mfano computer inaweza fanya calculation ngumu sana, wakati Kuna binadamu magazijuto tu ni shidaa.
Unaweza kui program na bado ikakuzidi uwezo,Wewe kwa ubongo wako unaweza hata kukariri page moja excel sheet kwa usahihi kuizidi computer?