Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Jerusalemu acha udini udini ndugu yangu!
Huyu Jerusalem anatafuta BAN!
kawahi haraka sana kikombe kwa Babu maana yake umesha changanyikiwa. Pole sana Jerusalem kwa kumpenda sana saint Nyerere.
Kumbuka avumae baharini ni Papa lakini wengine wapo pia kama Karume
Huyu Jerusalem anatafuta BAN!
Mbona huulizi NYERERE alikua rais wa tanzania si padri wala askofu lakini sasa kuna utaratibu unaandaliwa uganda apewe UTAKATIFU yani SAINT JULIUS K NYERERE!na tanzania haina dini!TAFAKARI UTAJUA NCHI HII INAENDESHWA NA KANISA!
Mkuu Jerusalem,kanini usione kama ni heshima tu wamepewa viongozi hao,maana Nyerere ni muhasisi kwahu bara na Karume ni kwa Visiwani.....
Wewe Jerusalem huna tofauti na maralia sugu.