Je, kanuni zinamruhusu Dr. Slaa kurejea kwenye cheo chake ndani ya CHADEMA?

Bora Dr Slaa arudi atukombolee chama chetu,

Ni aibu Chadema ya Leo kuwa mtetezi mkuu wa Mafisadi
 
Yaani huyu Dr. Mashinji duh. Hata kama ni viatu kumpwaya this is too much. Ndiyo shida ya mtu mmoja ku-hand pick viongozi. Demokrasia ingekuwa imetumika huyu Mashinji asingeupata ukatibu mkuu. Afadhali hata wangempa kijana wangu Ben Saanane angalau angeweza kuandika makala zaidi.
CDM ilishafariki walipompokea MTU waliyemtangaza kwa miaka 8 kuwa fisadi na baadaye kumbatiza kuwa Malaika. Sio Chama tishio tena na kisiote kwenda Ikulu Kabisa! Labda 2055
 
Swala la Dr. Slaa kurejea kwenye cheo chake pale CDM kama ingetokea hivyo basi wanachama na viongozi wangeangalia katiba ya chama husika maana katiba ndo mwongozo wa chama husika.
Hivyo kama katiba ingemruhusu kurudi kwenye nafasi yake basi angerudi, pia kama katiba haimruhusu basi asingeweza kufanya hivyo.
 
Labda aje kimtungu mtungi ndo ataweza mkuu.pale pamoto wamejaribu kupavuruga imeshindikana.
 
Habarini wadau.
Nauliza kaswali kadogo cha kizushi lakini chenye mantiki na ujumbe mzito.

Je Dr Slaa anaweza kurejea kwenye cheo chake cha ukatibu mkuu wa CDM?

TUJADILI BILA HASIRA!
lugumi na escrow mshamaliza mpaka muanze jadili mambo ya chadema??
 
Habarini wadau.
Nauliza kaswali kadogo cha kizushi lakini chenye mantiki na ujumbe mzito.

Je Dr Slaa anaweza kurejea kwenye cheo chake cha ukatibu mkuu wa CDM?

TUJADILI BILA HASIRA!
Soma hizo kanuni unazozirejea ili upate majibu! Unatuuliza sisi ni Kanuni? Zisome na utuletee mrejesho!
 
Kwann tusijadili uwezekano wa JK baba rizi kurejea uenyekiti!?
Maana Dr mihogo alitangaza kuacha SIASA!.
 
Dr. Slaa anaweza pia kurudi CCM kwani ndiko alikotokea kabla ya kuja CHADEMA!! Au kama akipenda kabisa anaweza kuurudia Upadri!!

Tena iliwahi kuthibitishwa na Nape Nnauye, mbele ya vyombo vya habari, kuwa Slaa alikuwa na kadi ya uanachama ya CCM huku akiwa katibu mkuu wa Chadema; kwahiyo mleta mada labda angehoji kama Slaa anaweza kurudi CCM bila CCM kulazimika kumpa kadi nyingine ya uanachama.
 
Dr Slaa akitaka kurudi CCM, haina shida atarudi kama alivyoondoka mwananchama tuu, Lakini akiamua kurudi CDM, ataleta vurumai kubwa na watu CDM watachinjana barabara zote za kutoka manyara hadi moshi itabidi zifungwe. Mji wa Arusha ndio utakuwa kama ALEPO AMA FALUJA. Maanake idadi kubwa ya wanaoishi mjini Arusha no jamii ya kimburu ,Waasi , Warangi na wafyomi. Na hizi jamii zinahusiana, hali ya Arusha itakuwa mbaya.

Tunapenda AMANI yetu, Dr Slaa kaa huko huko, na ukirudi tunakuomba usijaribu kupigania haki yako kwani itawadhuru walalahoi wengi sana.
 
Back
Top Bottom