Je, kanuni zinamruhusu Dr. Slaa kurejea kwenye cheo chake ndani ya CHADEMA?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Habarini wadau.
Nauliza kaswali kadogo cha kizushi lakini chenye mantiki na ujumbe mzito.

Je Dr Slaa anaweza kurejea kwenye cheo chake cha ukatibu mkuu wa CDM?

TUJADILI BILA HASIRA!
 
Yaani huyu Dr. Mashinji duh. Hata kama ni viatu kumpwaya this is too much. Ndiyo shida ya mtu mmoja ku-hand pick viongozi. Demokrasia ingekuwa imetumika huyu Mashinji asingeupata ukatibu mkuu. Afadhali hata wangempa kijana wangu Ben Saanane angalau angeweza kuandika makala zaidi.
 
Tukiassume hili ni chaguo la kimagumashi la mwenyekiti je CDM asili inaweza kujirejesha?
 
Habarini wadau.
Nauliza kaswali kadogo cha kizushi lakini chenye mantiki na ujumbe mzito.

Je Dr Slaa anaweza kurejea kwenye cheo chake cha ukatibu mkuu wa CDM?

TUJADILI BILA HASIRA!
1474819102937.jpg
 
Habarini wadau.
Nauliza kaswali kadogo cha kizushi lakini chenye mantiki na ujumbe mzito.

Je Dr Slaa anaweza kurejea kwenye cheo chake cha ukatibu mkuu wa CDM?

TUJADILI BILA HASIRA!
Kachelewa. Nafasi imeshajazwa. Akitubu dhambi zake abaki kuwa mwanachama wa kawaida tu
 
kwa mujibu wa sheria namba... ya Lumumba kifungu cha mtungi inawezekana.
ila yeye kwa sababu mshiko wake hakudhulumiwa kwa kuwa first lady ndo alisimamia show sasa lipumba kajifanya ni one man show wakamdhulumu.
 
OTE="SHIMBA YA BUYENZE, post: 17787200, member: 265664"]Yaani huyu Dr. Mashinji duh. Hata kama ni viatu kumpwaya this is too much. Ndiyo shida ya mtu mmoja ku-hand pick viongozi. Demokrasia ingekuwa imetumika huyu Mashinji asingeupata ukatibu mkuu. Afadhali hata wangempa kijana wangu Ben Saanane angalau angeweza kuandika makala zaidi.[/QUOTE]
Totally out of context... Soma tena swali
 
Umangimeza wa chadema hauwezi kumruhusu.ila dr.slaa apunguze hasira hizi ni siasa,arudi ajuunge na act wazalendo.
 
Back
Top Bottom