Da,
Bora nimpeleke kwa Joti wa ze comedy kuliko kwa hao jamaa wajasiriamali
Arusha.
Ni maombi au kitu kingine? Mpeleke mgonjwa wako kwa kakobe au mzee wa hammer pale ubungo chaibora-nyumba ya ufufuo na uzima
Tazama kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza, juu ya majeshi na pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Mungu amesema Israel ni mtoto wake wa kwanza kasome Kutoka 4:22. Na Mungu kasema atawabariki watakaobariki Israel na kuwalaani watakaoilaani kasome Mwanzo 12:3. Unajua anaposema Isrel anamaanisha taifa la Israel na sisi wengine tunaoamini tunachukua hizo baraka za Israel kupitia Yesu Kristo. Nasi tunafanyika kuwa wana wa Mungu. Ni muhimu kwenda Israel kulibariki hilo taifa teule la Mungu.
wooooote ni walewale binafsi mtu ninayemkubali ni FR. DR TITUS AMIGU MTAALAMU WA BIBLIA KUTOKA PERAMIHO SEMINARY
....daah lugha zenu Wagalatia zina utata, kama ule wa kumuua mwana pekee !
:noidea:
jamani kama mtu hujui ukweli ni bora usishuhudie uongo. wapi na lini semina za mwalimu huyu mtu akatakiwa alipe kiingilio.nadhani kuna uchafuzi unapangika. juzi semina yake pale biafra watu walifurika na hakuna alietoa kiingilio. uliza arusha,dodoma na kote alikofanya semina hakuna kiingilio.
kile kiarabu ndio kabisaaaa hakieleweki maana hata kutamka lazima ujue kuibana pua vizuri
jamani kama mtu hujui ukweli ni bora usishuhudie uongo. wapi na lini semina za mwalimu huyu mtu akatakiwa alipe kiingilio.nadhani kuna uchafuzi unapangika. juzi semina yake pale biafra watu walifurika na hakuna alietoa kiingilio. uliza arusha,dodoma na kote alikofanya semina hakuna kiingilio.
Mwalimu Mwakasege yuko juu sana huwezi kumlinganisha na watumishi wengi kwasababu moja kubwa,hafungwi na minyororo ya madhehebu.Nimewahi kuhudhuria semina nyingi za Bwana Mwakasege sikuwahi kumsikia hata siku moja akiwaelekeza watu waende kwenye dhehebu fulani fulani.
Kuna kasoro moja kubwa ambayo nimeiona kwa Bwana Mwakasege siku za karibuni amejikita sana kuwahimiza watu kwenda Israel.Amefikia hatua ya kuandaa safari za kwenda Israel kwa wanandoa as if uponyaji unapatikana unapokwenda Israel.Bwana mwakasege ndiye aliyemshauri E Ngoyai Elowassa kwenda Israel mara baada ya kuitia hasara kubwa nchi yetu na mkataba wa RICHMOND badala ya kumshauri aombe radhi watanzania kwa uzembe anamshauri aende Israel.
[/B]
hii bold, una andiko au ni ubunifu tuu ??:bored: