Kwanza mh.rais aligusia na ile ishu ya lugumi naona ishapigwa "uzuwea"mpaka sasa kimyaKama mnakumbuka siku mh.Nchemba anaondolewa ,mkuu aliongelea baadhi ya makaburi ambayo waziri yalimshinda kuyafukua ,likiwemo lile moja ambalo nadhani limejengewa chuma cha pua ...sasa kwa spidi hii Waziri wetu Lugola ataweza kulifukua lile moja matata manake naona kama analikwepa hivi.......najaribu kufikiri kwa sauti.................
ha ha haaa... Sipati picha na ile mifuko yenye bendera iliopinduliwa, yule [HASHTAG]#hobby[/HASHTAG] ameshapatikana?Speed alio anza nayo ipo siku atamwamlisha mkuu wa police wa kenya
Hahaaa kwani ile mifuko imepinduliwa au ni mikubwa unaweza weka tablet na isionekaneha ha haaa... Sipati picha na ile mifuko yenye bendera iliopinduliwa, yule [HASHTAG]#hobby[/HASHTAG] ameshapatikana?
ha ha haa.. Duuh... Nyie wabongo siwawezi!Hahaaa kwani ile mifuko imepinduliwa au ni mikubwa unaweza weka tablet na isionekane
Hili ndilo kaburi lenyewe la chuma.......................Kwanza mh.rais aligusia na ile ishu ya lugumi naona ishapigwa "uzuwea"mpaka sasa kimya
Naona ni kweli makaburi bado anayakwepa mkuu,ngoja tusubiri,time will tell.Kama mnakumbuka siku mh.Nchemba anaondolewa ,mkuu aliongelea baadhi ya makaburi ambayo waziri yalimshinda kuyafukua ,likiwemo lile moja ambalo nadhani limejengewa chuma cha pua ...sasa kwa spidi hii Waziri wetu Lugola ataweza kulifukua lile moja matata manake naona kama analikwepa hivi.......najaribu kufikiri kwa sauti.................
Fupa la Lugumi halitafuniki ...ATAWEZA
Hilo kaburi la chuma hawezi hata kulisogelea kwani lina sumaku za kuwanasa wote wanaojaribu kulisogelea kwa karibu! Mwagizaji mwenyewe anasukumia wengine ilihali ana nyenzo zote za kulifukua ama kulisawazisha! Chezea lugumi wewe!