Je, Kangi Lugola ataweza kuyafukua Makaburi yote?

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,877
1,592
Kama mnakumbuka siku mh.Nchemba anaondolewa ,mkuu aliongelea baadhi ya makaburi ambayo waziri yalimshinda kuyafukua ,likiwemo lile moja ambalo nadhani limejengewa chuma cha pua ...sasa kwa spidi hii Waziri wetu Lugola ataweza kulifukua lile moja matata manake naona kama analikwepa hivi.......najaribu kufikiri kwa sauti.................
 
Kwanza mh.rais aligusia na ile ishu ya lugumi naona ishapigwa "uzuwea"mpaka sasa kimya
 
Hahaaa kwani ile mifuko imepinduliwa au ni mikubwa unaweza weka tablet na isionekane
ha ha haa.. Duuh... Nyie wabongo siwawezi!
 
Attachments

  • #hobby.jpg
    #hobby.jpg
    23 KB · Views: 31
Kama mnakumbuka siku mh.Nchemba anaondolewa ,mkuu aliongelea baadhi ya makaburi ambayo waziri yalimshinda kuyafukua ,likiwemo lile moja ambalo nadhani limejengewa chuma cha pua ...sasa kwa spidi hii Waziri wetu Lugola ataweza kulifukua lile moja matata manake naona kama analikwepa hivi.......najaribu kufikiri kwa sauti.................
Naona ni kweli makaburi bado anayakwepa mkuu,ngoja tusubiri,time will tell.
 
Ninja angekuwa Hana Tumbo kubwa angempa masaa 12 IGP kuhakikisha Askar wote hawana vitambi, ange hoji Askar unaanzaje Kuwa Na Tumbo kubwa?

Sema ndio hivyo Tena Mola anajua zaid yetu
 
Hilo kaburi la chuma hawezi hata kulisogelea kwani lina sumaku za kuwanasa wote wanaojaribu kulisogelea kwa karibu! Mwagizaji mwenyewe anasukumia wengine ilihali ana nyenzo zote za kulifukua ama kulisawazisha! Chezea lugumi wewe!
 
......naona wanaendelea kumkwepa...sasa Ninja amemsukumia IGP amlete kwake ofisini kwenye cocktail....Ile kitu ni balaa!!!!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom