Kama mnakumbuka siku mh.Nchemba anaondolewa ,mkuu aliongelea baadhi ya makaburi ambayo waziri yalimshinda kuyafukua ,likiwemo lile moja ambalo nadhani limejengewa chuma cha pua ...sasa kwa spidi hii Waziri wetu Lugola ataweza kulifukua lile moja matata manake naona kama analikwepa hivi.......najaribu kufikiri kwa sauti.................