johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
- Thread starter
- #21
Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaUraisi wa manzese au?
Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaUraisi wa manzese au?
Bongo mtu yyt tu anaweza kuwa rais hata awe hana akiliHivi urais mnaona ni kitu chepesi , Yani kweli kafulila awe rais wa nchi hii, acheni utani
si kwamba hawezi ila bado anamengi ya kujifunza kwa sasa.Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Aisee, anakemea nn?Kweli Mtaka anaweza kuja kuwa PM bora sana au hata President maana ana uthubutu mkubwa kukemea
We kalia hayo hayo ya Urais wa manzese[emoji849][emoji849]Uraisi wa manzese au?
Labda anafikiri wanatoka mbinguni[emoji3]Waliokuwa marais wana nini cha ajabu?
Labda Agombee Urais kuwaongoza Matumbili wenzieNauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Muuaji hanaga hofu zoteKwa maana Magufuli hakuwa na hofu ya Mungu?
Kwa mujibu wa fikra zako fupi.Mbona mnakuwa wajinga mliopitiliza
Nadhani waandishi ndo hawana la kufanya, au utendaji KAZI wake unawashangaza.Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Nadhani tumpime Kafulila kwa utendaji wake wa kazi na matokeo ya kazi yake sio hizi porojo za urais ili kumkatisha tamaa aogope kuwajibika kwenye majukumu yakeNauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Ukienda msituni na kuwaona wale viumbe wakihama toka mti mmoja kwenda mwingine hutauliza tena swali hiliNauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Bila script mtaka anatema pumba balaaWell said, Mtaka ni image ya Magufuli kinachoongezeka kwake ni hofu ya Mungu.
Wajameni si tulikubaliana mzee Mdee ahamimie ccm, 2030 ampokee kijiti kutoka kwa mama Samia?Nauliza tu maana naona misafara yake hata nje ya mikoa yuko na Kundi la Waandishi wa habari.
Tufahamishane ili na wale wa vyama vya upinzani wasibaki nyuma
Sabato njema!
Kafulila sio muha ni ndugu yake na generali Laurent Nkunda mwasi wa kongoMuha huwaza tumbo lake pekee.
Hapo anajiwazia nafasi yake kisiasa kupitia fursa za ukuu wa Mkoa tu.
Mkuu wa mkoa ni mmoja tu. Mtaka