Je Kabwe alikuwepo kwenye uzinduzi leo?

Je Kabwe alikuwepo kwenye uzinduzi leo?

Sio siri binafsi nimeshtushwa na kilichotokea leo, kwamba Rais anauliza wananchi kua nimtumbue.... wananchi nao wanajibu mtumbueeeeeee"
Hivi taratibu nasheria za utumishi zinasema nini? mtumishi anafukuziwa jukwaani?
Usiumizwe kichwa. Hya ni maigizo tu wanafanya. Swala la kumfukuza kabwe lilikuwa limeisha pangwa muda mrefu maana mweshimiwa alituniwa barua toka wiki iliyopita so maamuzi yalikuwa yameisha tolewa sema kwa kutaka ujiko ndyo walikuwa wanasubiri ujiko wautolee wapi.
 
Sio siri binafsi nimeshtushwa na kilichotokea leo, kwamba Rais anauliza wananchi kua nimtumbue.... wananchi nao wanajibu mtumbueeeeeee"
Hivi taratibu nasheria za utumishi zinasema nini? mtumishi anafukuziwa jukwaani?
Amemsimamisha hajafukuzwa.
 
Jamani hata hivyo kala sana tangu mbeya mwacheni akae bench aone uchungu wake huku anakula mabilioni yake ya wizi taratibu. Pia asisahau watu wa mwanza wanasubiri change Yao ktk ujenzi wa clinik
 
Maigizo matupu huyo jamaa alishapewa taarifa ndio maana hakuwepo na presida alijua hayupo pale ila alitaka kufurahisha genge ndio movie ikaanza kwa kumwita makondakta aje atoe maelezo then mkulu akatoa uamuzi.
 
Back
Top Bottom