Je, January Makamba ni Lowasa mwingine in the making?

Keyboard Warrior

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
985
2,884
Si zungumzii kiutendaji

Si zungumzii kuhusu influence

Bali nazungumzia ambition, kati ya the most ambitious politicians waliewahi kutokea in the past 2 decades tunaweza kusema ni Lowasa, lakini unfortunately hajaweza kushika the top office in the country pamoja na jitihada zote. Tukija kwa January, nae ameonyesha the same zeal and ambition lakini kadri muda unavokwenda jitihada zake zinagonga mwamba na odds za yeye kuja kushika the top office in the country aren't in his favour.

Kuna msemo unasema; life doesn't always give you what you want!

Je January ni another Lowasa in the making?
 
Ila yupo kimya sana.... Ama ndio marejesho ya eniesiesiefu?
 
He must be the president of ur country
Magufuli kuwa president kumeharibu sana succession line ya CCM, kwa hiyo wale wote ambao defacto ni first and second in line (Membe & January) kusuceed to the president's chair, hawatakuwa katika new succession line. That's a fact.

Kwahiyo January kuja kuwa president ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano. Time will tell!
 
Eti influence, sasa ana influence ipi?
Wapo mamilioni wa Watanzania hawamjui kabisa

Na kama hujui uhasama wa January na Magufuli umeanzia pale alipopewa a low-key ministry, alitaka asipopewa uPM basi angalau awekwe kwenye front page ministries ili apate publicity imsaidie huko mbele ya safari.
 
Si zungumzii kiutendaji

Si zungumzii kuhusu influence

Bali nazungumzia ambition, kati ya the most ambitious politicians waliewahi kutokea in the past 2 decades tunaweza kusema ni Lowasa, lakini unfortunately hajaweza kushika the top office in the country pamoja na jitihada zote. Tukija kwa January, nae ameonyesha the same zeal and ambition lakini kadri muda unavokwenda jitihada zake zinagonga mwamba na odds za yeye kuja kushika the top office in the country aren't in his favour.

Kuna msemo unasema; life doesn't always give you what you want!

Je January ni another Lowasa in the making?
January mbeleko imechanika!
 
Eti influence, sasa ana influence ipi?
Wapo mamilioni wa Watanzania hawamjui kabisa

Na kama hujui uhasama wa January na Magufuli umeanzia pale alipopewa a low-key ministry, alitaka asipopewa uPM basi angalau awekwe kwenye front page ministries ili apate publicity imsaidie huko mbele ya safari.
Elewa mada kwanza, siko hapa kujadili kuhusu influence ya January. He's good at mobilizing the media, lakini he's not influential.
 
Mbinu ya jiwe kutengeneza kikundi chake ndani ya ccm ambacho ndiyo kitamrithi imejulikana. Na 2020 kutakuwa na mpambano mkali sana ndani ya chama. Asipokuwa makini jiwe ataangushwa vibaya sana
 
January hawezi kufikia level ya Lowasa hana influence ni very timid anategemea kupelekwa sio fighter.
Ni ngumu kupenya bila kubebwa kama Lowasa.
 
Alitumia nafasi ile aliyenaye msigwa sasahivi kutengeneza urafiki na wahariri wa media ili wawe wanampa promo

Fuatilia gazeti la mwananchi huwa linampamba sana Mara Kwa Mara ili asisahaulike
Elewa mada kwanza, siko hapa kujadili kuhusu influence ya January. He's good at mobilizing the media, lakini he's not influential.
 
Magufuli kuwa president kumeharibu sana succession line ya CCM, kwa hiyo wale wote ambao defacto ni first and second in line (Membe & January) kusuceed to the president's chair, hawatakuwa katika new succession line. That's a fact.

Kwahiyo January kuja kuwa president ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano. Time will tell!
Kama kupitishwa kuwa mgombea kunahitaji fadhila za mwenyekiti basi ni jambo lisilowezekana kabisa Janu kufika anapotaka.
 
Swali ni je ana connection ya kwake binafsi aliyoitengeneza au alikuwa anabebwa na wakubwa zake ambao nao ngosha ameshawakaba koo?.Mimi naona kama future yake tayar imeshakuwa destroyed considering kama ngosha ashatia jikoni mipango kuendesha nchi kwa miongo kadhaa
 
Back
Top Bottom