Je, January Makamba ni Lowasa mwingine in the making?

Je, January Makamba ni Lowasa mwingine in the making?

Huyu Bwn aliharibu dili la 2015 na Maholotel yake na mikonga na kuburuza vijana wetu kuwapiga kunyanganya pcs zao.
Na yeye anaonja joto la jiwe anakula matunda yake!!
 
Uwezo wake wa kufukiri uliishia pale kupost picha aliopiga na Mzee Mwinyi ,alisahau kuwa Mwinyi alijiuzulu yeye katimuliwa
 
Eti influence, sasa ana influence ipi?
Wapo mamilioni wa Watanzania hawamjui kabisa

Na kama hujui uhasama wa January na Magufuli umeanzia pale alipopewa a low-key ministry, alitaka asipopewa uPM basi angalau awekwe kwenye front page ministries ili apate publicity imsaidie huko mbele ya safari.
Watanzania wa huku vijijini haeamjui kabsa bora hata Nappe ila huyo wanamjua twitter tu
 
..dont write him off.

..anaweza kurudishwa ktk baraza kama ilivyotokea kwa Mh.Simbachawene.
 
Asepe tu ,alitengeneza Sheria mbaya ya Mitandao inayo tafuna Uhuru wa Habari na Kujieleza. Vijana wetu wanaishia Magerezani!
 
Hahaha huko Bumbuli tu hakubaliki sasa unawaza vitu vya ajabu sana.
 
Eti influence, sasa ana influence ipi?
Wapo mamilioni wa Watanzania hawamjui kabisa

Na kama hujui uhasama wa January na Magufuli umeanzia pale alipopewa a low-key ministry, alitaka asipopewa uPM basi angalau awekwe kwenye front page ministries ili apate publicity imsaidie huko mbele ya safari.
Kwa vile unaona hana influence doesn't actually mean hana influence. Ni mtazamo wako ambao sio lazima uwe sahihi.

Kama unazijua vema siasa za Tanzania, January was only second to Lowassa kwenye Mbio za urais 2015. Kwa age yake, kuingia tano bora kati ya wagombea zaidi ya 40 si jambo dogo.

Nitajie mwanasiasa mmoja wa CCM aliyeweza ku-mobilise vijana wengi kukiunga mkono chama hicho apart from January.

Na hilo la uhasama na Jiwe, tells more about Jiwe kuliko January. Nani asiyejua kuwa Jiwe alimgeuka January licha ya mchango wake mkubwa kabisa katika kampeni za Jiwe?
 
Na hilo la uhasama na Jiwe, tells more about Jiwe kuliko January. Nani asiyejua kuwa Jiwe alimgeuka January licha ya mchango wake mkubwa kabisa katika kampeni za Jiwe?

Huwa nacheka sana watu wanaposema eti January amemsaidia magufuli kushinda

Ile nafasi hata ungepewa wewe ungeiweza tu
Ccm sio mtu ccm ni nafasi
Ooh mara Vijana wa IT walibadilisha matokeo
Yule alipewa nafasi na mzee wetu aweze kushine
Na wala hakustahili kuwepo best ten ya candidate wa ccm
 
Back
Top Bottom