Je, jamii ya wachaga inafanyia wanawake ukeketaji?

Je, jamii ya wachaga inafanyia wanawake ukeketaji?

Hata Uingereza wanakeketa, unashangaa uchagani?
 
Mi Dada zangu hawajafanyiwa ivo na ndo maana ni wembe balaa na ni wajanja kwa wanaume mi huwa nawaangalia nakosa jibu

ila nakumbuka zamani nilimsikia bibi anazungumza na mama umri wangu ulikua na uelewea wa kila kitu ila walikua wanazungumza kilugha wakizani sielewi, bibi alikua anamshauri mama kuhusu kuwakata antena wajukuu wa kike mama akagoma maana wamezaliwa mjini na wamekulia mjini
 
Sasa umekutana na binti wakichaga hana kisimi...alafu unakuja kuuliza Kama wanakeketa wakati ushaidi unao
 
Ngoja nimtag Sisteri angu mmoko asololoe kwa fas atoe maujuzi ngama kuhusu hii mbishe
 
Sasa umekutana na binti wakichaga hana kisimi...alafu unakuja kuuliza Kama wanakeketa wakati ushaidi unao
Nimeshangaa kwanini wao awaambiwi madhara yakukeketa? Wala awaambiwi waachane na Mira potofu
 
Pimbi wewe wachaga hatuna huo ufirauni huyo atakuwa kakuongopea tuu kuwa mchaga, embu muulize (menya) kwa kichaga maana yake nini? Akikujibu ni chuma huyo atakuwa mchaga kweli ila akikujibu kuwa hajakulia uchagani mtandike kofi
Nilikuwa na mpenzi wa kichaga nikakuta kandolewa antena, nikashikwa na butwaa.

Je, mabinti wa kichaga wanakeketwa ?
 
Wachaga wawapi mkuu maana wachaga tumegawanyika, marangu, rombo, kirua vunjo, oldmoshi, kibosho, siha, machame, haya yote ni makundi ya wachaga na kina baadhi ya taratibu huwa nitofauti na kundi lingine
Warangi, Wambulu, Wakurya, Wachaga, Wataturu, n.k ni makabila mashuhuri kwa kukeketa mkuu usishangae.
 
Yalikuwepo miaka ya 1990 kurudi nyuma. Kwa sasa hakuna hiyo kitu
 
Nilikuwa na mpenzi wa kichaga nikakuta kandolewa antena, nikashikwa na butwaa.

Je, mabinti wa kichaga wanakeketwa ?
Kuna jamii bado zinafanya Wachaga, wamasai wakurya.
 
Nilikuwa nataka nijue mbona wao wachaga awakemewi awaambiwi waache
Wachaga walikwisha elimishwa wakaelewa na wakaachana na hii mila,ndiomana hakuna nguvu nyingi zinatumika kuhimiza kuacha mila hii.Lakini mikoa unayoona inahimizwa kuacha bado kasumba haijaisha japo inapungua taratibu,tayo IPO siku hutaisikia ikitajwatajwa kama usivyosikia sasa kwa wachaga
 
Kamwe!!! haijawai tokea,wachaga wamendelea muda mrefu uliopita uchagani uwezi sikia mradi wa REA umeme upo vijijini muda mrefu ,matumizi ya choo (Kanda ya ziwa bado wana kuny*a ziwani), elimu,ustarabu uliochagizwa na ujio wa wamisionari walio wafunza kidini ilisaidia pia kutokuepo kwa imani na tamaduni za ukeketaji,na hata nyuma Sina hakika ilikuwepo hiyo taratibu mbaya kabisa
 
Back
Top Bottom