Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Nimewai kuona TBC au ITV wale mabibi walio kuwa wana keketa wameacha baada ya kupata elimuMbona viongoz na vyombo vya habar awatoe kauli za kukemea upande wa Kilimanjaro shida nin?
Nimewai kuona TBC au ITV wale mabibi walio kuwa wana keketa wameacha baada ya kupata elimuMbona viongoz na vyombo vya habar awatoe kauli za kukemea upande wa Kilimanjaro shida nin?
Hakuna utani, Mila za kichaga wanakeketaAcha matani
Nilikuwa sijui hilo.Hakuna utani, Mila za kichaga wanakeketa
Sijui, Ni Mila ya kizamani Sasa hivi inapoteaItakuwa wakeketa bint wakati yupo mtoto mchanga
😄😄😄Nilikuwa sijui hilo.
kile kibutu kinachobakia baada ya kukatwa kiharage kina uchezeaji wake kile basi mashamsham yakiwapanda burudaaaani.
NB; hawawatendei haki kuwakeketa.
Msomali huyo. Himo kuna Wasomali nao wanajiita WachaggaMchaga pure Tena kwao Himo Tena jinalake lakichaga kabisa
Labda ndipo kwenye mizizi na kungoa mizizi ni tabu kuliko kukata matawiMbona ukeketaji unapigwa vita baadhi ya maeneo , Kilimanjaro aupigwi vita?
Atakuwa manka uyo[emoji16][emoji16][emoji16]Mchaga pure Tena kwao Himo Tena jinalake lakichaga kabisa
Mbona ukeketaji unapigwa vita baadhi ya maeneo , Kilimanjaro aupigwi vita?
Ipo mimi nilishamuuliza bidada anafanya kazi katika NGO mojawapo ya maswala ya kijamii akaniambia yes hiyo makitu ipo....Mbona sijawai kusikia vyomba vya habar vikikemea Kilimanjaro waache kukeketa?