EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,410
- 21,129
kwani chriss mahuki na mchungaji mitimingi wanasemaje?
[emoji23]Mpaka sasa asubuhi yangu haitokuwa njema tena.
Mpigwa! Jamani nyie, embu tuliwekeni vizuri hili jambo. Mpigwa! Hivi kustareheshwa ni kuumizwa?Hahahaaa
Mkuu wametumiana wakati bidada anaona yeye tu ndo anatumika kwa kuwa ndiyo mpigwa!