Je, jamaa aoe au amuache huyu mwanamke?

Je, jamaa aoe au amuache huyu mwanamke?

Swali: Huyo mwanaume kapewa million ngapi na huyo binti tangu waanze mahusiano yao?
Yaani mwanamke kama huyo namwacha usiku wa manane kwa jeuri
Yeye hajui maana ya kuyumba?
Yeye anatumiwa kawa msukule?
Mbona akiliwa analilia utamu?
Amewahi kulipia huo utamu?
Vijana msiooa pambaneni msiooe watu weusi. Maana mwanamke wa kiafrika kumpata yule bora yahitajika bahati.
Huyo ingekuwa enzi zangu ningeomba contacts zake bingekuwa namtumia mpesa 50000 halafu nanyuti, nakaa wiki namtumia tena nanyuti , mwenyewe angenitafuta nampa mimba namkataa
Mkuu ckuizi kuna misso...ukikataa anafrash shwaaaaaaa.....
 
Jirani wewe ni chotara wa kijerumani? Maana si kwa kupondea wanawake weusi.

Mie nipo bonde la faraja...
Ahahahaaa.
Hawa Dada zetu kwakupenda mshiko noma. Hata kama wote mnalipwa mshahara sawa bado atahitaji akuminye
 
Mimi mtazamo wangu kwa kila mwanamke ambaye swala la kukutana kimwili na mwenzi wake anaona kama kutumiwa/kutumika namwona tayari kuna shida pale maana kwa ufahamu wangu tendo lile ni mutualism kila mtu anafaidika kwalo .
Kwa mtazamo wangu kama mpenzi wangu hana la ziada analoweza kuongeza kwenye mahusiano yetu zaidi kwenye maisha yangu hivyo hivyo mimi kwake basi hatufaani.
Pussy it’s not given as part of bargain of what you can offer in relationships there should be more .
Mwanamke kama huyu si wa kuoa
We noma kaka.
 
Lile tendo sisi sio kipaumbele chetu....... Si umeona hapo jamaa kamkuta manzi anaumwa hakujali kapiga mashine kaacha juice..... Ila wanaume ni wapumbavu sana

Muwe na asubuhi njema
Ndo shida ya kuanza mapenzi primary hvy k imekua sugu ka dodoki.Acha utoto wa sex soma.
 
Kama kula nyama kila mmoja kala nyama ya mwenzake. Waambie wote wawili waache utoto.
 
Mahuasiano yanayohusisha mwanaume na mwanamke huwezibkutoa conclussion rahisi hivyo. Mwanake anapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume alie na hisia nae huwa anaamini atamuoa, hiyo ni hata kama wana miaka 10.
Sasa katika hilo tunasimamia asili yetu, je huyu atakuwa mume wa aina gani baada ya ndoa? Ataweza kweli kuihudumia familia ikiwa wewe hakuhudumii?
ana point
ila akina dada mtafute kazi
kubanduana ni starehe sio kazi
 
Ni rafiki yangu wa karibu,kanitumia screenshorts za majibu ya mpenzi wake baada ya kunyimwa penzi kwa miezi kadhaa na mpnz anayedai kuwa na ndoto za kumuoa!

Anadai kwa kipindi kirefu ameyumba sana kiuchumi,hali iliyopelekea kushindwa kumudu mahitaji yake na mpenzi wake, ndipo mpenzi wake akaanza kumpiga kalenda linapokuja swala la mapenzi,baada ya kumuuliza kwa nini amebadilika, binti bila kusita akamwangushia jamaa meseji ndeeefu akito ya moyoni,kama inavyoonyesha hapa chini, je,rafiki yangu huyu,aendelee kubaki hapa au aachane naye?
View attachment 1184966
Aaaaah hao ndo ww baharia
 
Ukiwa na pesa huwezi kupoteza muda wa kubembelezana na wanawake,Ila kwa Huyo demu inaonekana kabisa jamaa anakubalika ila hajui kucare.
 
Back
Top Bottom