Je, jamaa aoe au amuache huyu mwanamke?

Je, jamaa aoe au amuache huyu mwanamke?

Swali: Huyo mwanaume kapewa million ngapi na huyo binti tangu waanze mahusiano yao?
Yaani mwanamke kama huyo namwacha usiku wa manane kwa jeuri
Yeye hajui maana ya kuyumba?
Yeye anatumiwa kawa msukule?
Mbona akiliwa analilia utamu?
Amewahi kulipia huo utamu?
Vijana msiooa pambaneni msiooe watu weusi. Maana mwanamke wa kiafrika kumpata yule bora yahitajika bahati.
Huyo ingekuwa enzi zangu ningeomba contacts zake bingekuwa namtumia mpesa 50000 halafu nanyuti, nakaa wiki namtumia tena nanyuti , mwenyewe angenitafuta nampa mimba namkataa
 
Ukiona mwanamke anakuambia unamtumia tu ilihali starehe ni yenu wote, ujur humfikishi kileleni. Mwanamke anayepewa dose sawasawa hawez kusema unamtumia

Mwisho, huduma ni muhimu yuko sahihi, sema uwasilishaji wa kero upo ktk mtizamo hasi
 
Huyo dada yuko sawa kabisa.
Kwanini mtu anaumwa unampelekea juice na kumuomba mapenzi!!huo ni ubinafsi.
Pia huyo mwenzio inawezekana hajamwambia hali halisi ya mapato yake so inakuwa ngumu kwa mwanamke kuwa the same alivyokuwa zamn pengine anahisi kapata wanawake anaspend pesa huko nje.
Wanaume huwa wanataka wanawake wasihoji kabisa hukusu mustakabali wa mapenzi yanakoelekea na ukibadilika kidgo unakuwa mbaya na hapo anataka kila week ale mzigo na hampi hata hela ya kufulia chupi mwenzie
[emoji28][emoji28]
Cha msingi mwambie rafiki yako awe muwazi na ampe msimamo wa future yao basi. Navyojua wanawake wakiwa na uhakika na future zao na wapenzi wao basi huwa wanatulia.
 
Mimi mtazamo wangu kwa kila mwanamke ambaye swala la kukutana kimwili na mwenzi wake anaona kama kutumiwa/kutumika namwona tayari kuna shida pale maana kwa ufahamu wangu tendo lile ni mutualism kila mtu anafaidika kwalo .
Kwa mtazamo wangu kama mpenzi wangu hana la ziada analoweza kuongeza kwenye mahusiano yetu zaidi kwenye maisha yangu hivyo hivyo mimi kwake basi hatufaani.
Pussy it’s not given as part of bargain of what you can offer in relationships there should be more .
Mwanamke kama huyu si wa kuoa
 
Ni rafiki yangu wa karibu,kanitumia screenshorts za majibu ya mpenzi wake baada ya kunyimwa penzi kwa miezi kadhaa na mpnz anayedai kuwa na ndoto za kumuoa!

Anadai kwa kipindi kirefu ameyumba sana kiuchumi,hali iliyopelekea kushindwa kumudu mahitaji yake na mpenzi wake, ndipo mpenzi wake akaanza kumpiga kalenda linapokuja swala la mapenzi,baada ya kumuuliza kwa nini amebadilika, binti bila kusita akamwangushia jamaa meseji ndeeefu akito ya moyoni,kama inavyoonyesha hapa chini, je,rafiki yangu huyu,aendelee kubaki hapa au aachane naye?
View attachment 1184966
POle sana mkuu, tafuta hela
 
Ambao tayari tumeshachukua za huyo Demu wa jamm tujuane , ili tukifanikiwa kumgegeda tulete mrejesho
 
Lile tendo sisi sio kipaumbele chetu....... Si umeona hapo jamaa kamkuta manzi anaumwa hakujali kapiga mashine kaacha juice..... Ila wanaume ni wapumbavu sana

Muwe na asubuhi njema
Hahahaaa,we jamaa,ina maana bibie hakuwa anapenda?

Mimi naamini mwanamke asipotaka sex hauwezi kufanya naye lakini hapo bibie naye alikuwa na hamu,na may be hakuwa anaumwa ile serious!(alikuwa anamtest jamaa)
 
Swali: Huyo mwanaume kapewa million ngapi na huyo binti tangu waanze mahusiano yao?
Yaani mwanamke kama huyo namwacha usiku wa manane kwa jeuri
Yeye hajui maana ya kuyumba?
Yeye anatumiwa kawa msukule?
Mbona akiliwa analilia utamu?
Amewahi kulipia huo utamu?
Vijana msiooa pambaneni msiooe watu weusi. Maana mwanamke wa kiafrika kumpata yule bora yahitajika bahati.
Huyo ingekuwa enzi zangu ningeomba contacts zake bingekuwa namtumia mpesa 50000 halafu nanyuti, nakaa wiki namtumia tena nanyuti , mwenyewe angenitafuta nampa mimba namkataa
Jirani wewe ni chotara wa kijerumani? Maana si kwa kupondea wanawake weusi.

Mie nipo bonde la faraja...
 
Kilichomuumiza huyu Dada ni kitendo cha Rafiki yako kumtumia tu bila kumjali.
 
Hata kama uchumi mgumu jamani siyo kwa kiasi hicho!
Baharia kazingua sana. Huyo demu yuko sahihi kulaumu kabisa.
 
Yes mdada yupo sahihi wanaume hudumieni wapenzi wenu lasivyo mtapangwa kama foleni za madumu...we uwezi ukawa unamkamua Dada wa watu afu unategemea ajihudumie mwenyewe,,,,,
 
Dunia ya sasa kubembelezana na mwanamke anayeringa kwa visababu fulan fulan ni upumbavu.

Kama anaona huyo demu anajiona matawi amuache akatafute level yake, atakayeweza kuendana na uchumi wake, mbona wako tele mtaani?
Mkuu ata akitafuta wa level yake ya kimaskini nae atachoka tu atabwagwa kama kawa
 
Back
Top Bottom