Hajui hata Marekani inatawaliwa na YahudiHizo operations alizooanisha mtoa mada nazo ni hisani ya wamarekani?
Soma kuhusu (ZOG) Zionist-Occupied Government au (JOG) Jewish Occcupational Government, mkuu hizo ni theory tu ulizolishwa na zaidi naamini umesikia kwa mwingine, lakini ukiulizwa kutetea hoja yako huna facts zenye nguvu.Hajui hata Marekani inatawaliwa na Yahudi
Baada yakuvamia ikawaje !!?Israel kama sio uchawi basi Kuna mkono wa Mungu!
Ilinishangaza yule kirusi Stuxnet worm kuvamia zile project za nuke za Iran kirahisi..
Baada yakuvamia ikawaje !!?
Umesoma Pay2Key?Israel kama sio uchawi basi Kuna mkono wa Mungu!
Ilinishangaza yule kirusi Stuxnet worm kuvamia zile project za nuke za Iran kirahisi..
Hujui mbinu za medaniUmesoma Pay2Key?
Israel pia walikuwa attacked na Iran pia.
Chanzo cha habari ni haaretz cha Israel wenyewe.
View attachment 1658309
Baada ya shambulizi la stuxnet worm, bado wanaendelea na kurutubisha nuclear kama kawaida.
Mfano wa tech ipi?Hao ndio Israel. Ndio Taifa lenye Teach ambazo dunia hawana
Kivipi?Kitu ambacho hujui ni kwamba Israel Runs US
Israel inawapa moral wairan wasome sana sayansi ya kivita na technology kwa kuwaua wanasayansi wa iran na hii itasababisha israel ipate uponzani mkubwa kwasababu iran ina population kubwa kwahiyo watu wakiwa na moral wakiwa macientist itakuwa na macientist wengi sana na hapo ndo mwanzo wa kuifuta israel kwenye uso wa dunia
Ndugu umeandika kishabiki sana. Israel ilishinda vita ya 6 na Waarabu na ikachukua Sinai na baadaye mkataba wa amani baina yake na Anwar Sadati.
Hivi sasa Israel haina uwezo huo tena. Mwandishi umekuwa shabiki sana. 2006 Waisraeli walishinda kwenye mahandaki kama panya mpaka walipoomba poo na wazee wa shughuli Hizbullah. Israel ilikimbilia UN kuomba kusitisha vita. UNSC wakaingilia kati maana jamaa walielekea kuangamia. Wacheni ushabiki hapa. Hata vitabu vya dini vimetabiri anguko la hawa watu na linakaribia.
Kwa sasa Israel haina uwezo wa kuingia Iran
Iran Ina missiles za kufika Marekani.. hili halipo Iran bado haina uwezo wa kutengeneza kombora la kufky kutoka kwao Hadi ugenini US
Hii nchi unayosifia ina nguvu ndio ilitekwa na kuwekwa uhamishoni miaka almost elfu mbili na Warumi. Hii nchi kabla ya hapo iliwekwa mateka hata Yesu anazaliwa alikuta ina wakoloni Warumi na aliwaacha. Hitler aliwagaragaza kwenye matanuru ya sumu na umeme.
Taifa lenye nguvu haliwezi nyanyasika hivi. Kihistoria, Israel haina majigambo mbele ya Japan iliyotawala nchi nyingi kwenye Pacific ikaja pigwa na superpowers. Russia ndio kabisa huyu hajawahi shindwa vita akatekwa sijui kutumikishwa iwe na Genghis Khan, Napoleon au Hitler. Ujerumani anaweza jigamba mbele ya Israel tukamuelewa sana, mwaka 1918 kanyanganywa makoloni na kabaki mweupe hana kitu ila mwaka 1939 kapiganisha dunia kwa miaka mitano.
Israel hajawahi fanya maajabu yoyote na hastahili hizi kelele mnazomvika. Kama kupigana na majirani kwa kusaidiwa, Chile iliwahi pigana single handed na majirani zake wenye nguvu zaidi yake.
Inawahitaji wanasayansi wanaotengeneza silaha za maangamizi?Moja ya vitu nisivyovikubali ni Israel kuwa target na kuwa assasinate wana sayansi.. Dunia inawahitaji sana wanasayansi kuliko inavyowahitaji wanasiasa
kaisrael ni kanchi kadogo kama Mwanza lakini kanawatembezea mkong'oto Middle East nzima
Sawa shostiKwa msaada wa marekani na western countries. Peke yake hawezi, na hataweza. Upo hapo!
Utasema mwaka gani mkuu !!!??..Hujui mbinu za medani
Usije ukashangaa hizi nuke za Iran zikalipuka Iran huko huko!
Muda utasema!