'Kuifuta Israel kwenye uso wa dunia'...sio rahisi...Israel inawapa moral wairan wasome sana sayansi ya kivita na technology kwa kuwaua wanasayansi wa iran na hii itasababisha israel ipate uponzani mkubwa kwasababu iran ina population kubwa kwahiyo watu wakiwa na moral wakiwa macientist itakuwa na macientist wengi sana na hapo ndo mwanzo wa kuifuta israel kwenye uso wa dunia
Badala ya kuweka fact unakuja na maneno ya kutisha weka fact shusha nondo Iran unayoisema hapa ndio ilishusha ndege (drone) iliyokuwa ya USA vzr bila kuilipua usiichukulie poa Iran aseeHujuwi unachokiandika. Tangu kuwepo Kwa Israel limekuwa nitaifa dogo lenye maajabu yakutisha Sana. Labda nikisimulie histori fupi yakutisha juu ya Taifa hili na usishangae ndio Taifa lenye jeshi dogo Ila hatari duniani. Historia inatukumbusha tangu miaka elfu iliopita Taifa hili halijawahi shinda Vita Kwa Kuwa na wapiganaji wengi Ila watu wachache waliopikwa wakapikika. Swala lakuipiga Iran ni swala la siku Ila lazima watashambulia na lazima watashinda hiyo Vita....
Inawezakana maana mrusi anayo intercontinental ICBMmtoa mada umeniacha kidogo pale ulipo sema iran ana ballistic linalofika amerika....hebu punguza mahaba unajua umbali kati ya usa na iran?
Ndugu umeandika kishabiki sana. Israel ilishinda vita ya 6 na Waarabu na ikachukua Sinai na baadaye mkataba wa amani baina yake na Anwar Sadati.Hujuwi unachokiandika. Tangu kuwepo Kwa Israel limekuwa nitaifa dogo lenye maajabu yakutisha Sana. Labda nikisimulie histori fupi yakutisha juu ya Taifa hili na usishangae ndio Taifa lenye jeshi dogo Ila hatari duniani. Historia inatukumbusha tangu miaka elfu iliopita Taifa hili halijawahi shinda Vita Kwa Kuwa na wapiganaji wengi Ila watu wachache waliopikwa wakapikika. Swala lakuipiga Iran ni swala la siku Ila lazima watashambulia na lazima watashinda hiyo Vita....
Ukweli mchungu huu.Tarehe 7 June 1981 Israel ilifanya mashambulizi katika vinu vya nuclear huko Iraq,hii ilikuwa ni shambulizi la ghafla katika mradi huo chini ya Sadam Hussein, hii ilijulikana kama operation opera au Operation Babylon, Kinu kilichojulikana kama Osirak Nuclear Reactor kilichokuwa kusini mashariki mwa Baghdad kiligeuzwa majivu, hakika lilikuwa shambulizi la ghafla na hakuna aliyetarajia...
Hata DT mlituinisha ataichapa IRAN hatimae anaondoka IRAN ipo imara zaidi yajana.Wewe ndiyo unataka kuharibu uzi wa jamaa sasa!!..
Umbali ni 10000km na wana missile ya kufika 10000km.mtoa mada umeniacha kidogo pale ulipo sema iran ana ballistic linalofika amerika....hebu punguza mahaba unajua umbali kati ya usa na iran?
Iran wana missile za kufika US mkuu, utakuwa unabishana na Benjamin Netanyahu.Iran Ina missiles za kufika Marekani.. hili halipo Iran bado haina uwezo wa kutengeneza kombora la kufky kutoka kwao Hadi ugenini US
Ipo hivi, kifo cha mwanasayansi wa Iran karibuni ni mpango wa Trump na Netanyahu kumuingiza Biden kwenye matatizo, walijua fika Iran watajibu kama ilivyokuwa kwa Suleiman na hapo kulikuwa hakuna budi bali kuingia vitani, lakini Iran wamejua hilo, sasa unasikia B-52 zipo Middle East tayari.Hujuwi unachokiandika. Tangu kuwepo Kwa Israel limekuwa nitaifa dogo lenye maajabu yakutisha Sana. Labda nikisimulie histori fupi yakutisha juu ya Taifa hili na usishangae ndio Taifa lenye jeshi dogo Ila hatari duniani. Historia inatukumbusha tangu miaka elfu iliopita Taifa hili halijawahi shinda Vita Kwa Kuwa na wapiganaji wengi Ila watu wachache waliopikwa wakapikika. Swala lakuipiga Iran ni swala la siku Ila lazima watashambulia na lazima watashinda hiyo Vita....
AiseeIpo hivi, kifo cha mwanasayansi wa Iran karibuni ni mpango wa Trump na Netanyahu kumuingiza Biden kwenye matatizo, walijua fika Iran watajibu kama ilivyokuwa kwa Suleiman na hapo kulikuwa hakuna budi bali kuingia vitani, lakini Iran wamejua hilo, sasa unasikia B-52 zipo Middle East tayari.
Biden na cabinet yake tayari wana mpango wa kurudi tena kwenye makubaliano na Iran juu ya nuclear deal kitu kitakachokuwa mwiba mchungu kwa Netanyahu.
Sasa Israel wanaumia kuliko Iran yenyewe, usifikiri wameshinda bali wameshindwa.
Hii nchi unayosifia ina nguvu ndio ilitekwa na kuwekwa uhamishoni miaka almost elfu mbili na Warumi. Hii nchi kabla ya hapo iliwekwa mateka hata Yesu anazaliwa alikuta ina wakoloni Warumi na aliwaacha. Hitler aliwagaragaza kwenye matanuru ya sumu na umeme.Hujuwi unachokiandika. Tangu kuwepo Kwa Israel limekuwa nitaifa dogo lenye maajabu yakutisha Sana. Labda nikisimulie histori fupi yakutisha juu ya Taifa hili na usishangae ndio Taifa lenye jeshi dogo Ila hatari duniani. Historia inatukumbusha tangu miaka elfu iliopita Taifa hili halijawahi shinda Vita Kwa Kuwa na wapiganaji wengi Ila watu wachache waliopikwa wakapikika. Swala lakuipiga Iran ni swala la siku Ila lazima watashambulia na lazima watashinda hiyo Vita...
Kitu ambacho hujui ni kwamba Israel Runs USKila kitu ni msaada wa USA. Hata kuunda Hilo taifa mwaka 1949 ni kwa hisani tu ya watu wa marekani.
Unajua kila mwaka Israel inapewa msaada wa Pesa kiasi gani kutoka USA??
Asante kwa tag, Bwana Utam.
Vitabu gani vimetabiri?Ndugu umeandika kishabiki sana. Israel ilishinda vita ya 6 na Waarabu na ikachukua Sinai na baadaye mkataba wa amani baina yake na Anwar Sadati.
Hivi sasa Israel haina uwezo huo tena. Mwandishi umekuwa shabiki sana. 2006 Waisraeli walishinda kwenye mahandaki kama panya mpaka walipoomba poo na wazee wa shughuli Hizbullah. Israel ilikimbilia UN kuomba kusitisha vita. UNSC wakaingilia kati maana jamaa walielekea kuangamia. Wacheni ushabiki hapa. Hata vitabu vya dini vimetabiri anguko la hawa watu na linakaribia.
Kwa sasa Israel haina uwezo wa kuingia Iran
FactBadala ya kuweka fact unakuja na maneno ya kutisha weka fact shusha nondo Iran unayoisema hapa ndio ilishusha ndege (drone) iliyokuwa ya USA vzr bila kuilipua usiichukulie poa Iran asee