Je Ingekuwaje.........What If...........?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Ingekuwaje.........What If...........??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jul 31, 2011.

1. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#1
Jul 31, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Wapendwa
Natumaini wote mlikuwa na weekend njema.

Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu yako n.k tunavyopeana mwanzoni mwa mahusiano? Je unadhani kama mambo yanakwenda mrama, kisha uka'iplay' that tape back...... kungekuwa na kuumizana, kuachana??

Nawaza tu kwa sauti maana mapenzi nilonayo kwa mwandani, na mahashuo nnayomuashua nahofia yasijenisuta siku moja nkijikuta namfanyia visa (MUNGU pitishia mbali) LOL.

Nakumbuka nliambiwaga .............Wallah we mwanamke nakupenda, ukijaniacha nakuua.......afu nikaachwa mie!!!!

2. bht

bht JF-Expert Member

#2
Jul 31, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 10,341
Likes Received: 209
Trophy Points: 160
jamani MJO, mi nina text msgs tangu ya kwanza na emails zote (sijui ndo kunogewa yaani ni kama treasure, maana siwezi kuzifuta)...na kukitokea mtafaruku nazirejelea zote. Sasa hapo ndo maumivu zaidi....

But at good times....ooh my, you just go through them and smile all alone!

3. Mbu

Mbu JF-Expert Member

#3
Jul 31, 2011
Joined: Jan 11, 2007
Messages: 12,729
Likes Received: 187
Trophy Points: 160
LOL....hhhaaaa hhahhahahha!...weye utanifayisha mwezi mtukufu niwe nailia futari JF! khaaa
eti 'afu nikaachwa mie!!!' LOHHH, ama kweli umenichekesha mpaka najishtukia!....

Halafu Mwj1, huyo anayesema hivi ndio yule aliyekuwa anagombana na Video ya kiapo cha harusi au?
Kuna topik fulani nilikusoma haeshi kukusumbua mrudiane, labda ndio maana yake....'mpaka akuue!' Mnh?..
Mw'mungu apishilie mbali!

4. bht

bht JF-Expert Member

#4
Jul 31, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 10,341
Likes Received: 209
Trophy Points: 160
enheee Mbu na mimi nimekaa nikafikiria hapo aliposema 'atamuua'...lol!

MJO, sungusungu wewe, usalama barabarani wewe, dereva wa kebu wewe...heheee unalo!

5. MAMMAMIA

MAMMAMIA JF-Expert Member

#5
Jul 31, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 3,822
Likes Received: 23
Trophy Points: 0
Hakuna kitu kigumu kama kutoa ushauri wa mapenzi kwani kila mtu na kila "pair of the couples" ni tafauti na nyengine. Lakini kitu kinachoweza kupunguza maumivu ni kujipenda zaidi mwenyewe. Ikiwa haiwezekani basi tenga angalau 25% za mapenzi kwa ajili yako mwenyewe. Ukifanya hivyo, hata uambiwe "nakupenda, ninakufa kwa ajili yako, sijiwezi....blah blah blah...moyoni unasema "ninajipenda zaidi, nitakufa kulinda mapenzi yangu kwangu, sijiwezi kwa ninavyoipenda nafsi yangu. Yakidumu poa, siku akigeuka, atambue kuwa wewe ulishamtangulia hatua chache kwenye uamuzi huo.
Maisha yanaendelea. Hakuna kitu cha kipuuzi kama kulilia maji yaliyokwishamwagika.

6. BAK

BAK JF-Expert Member

#6
Jul 31, 2011
Joined: Feb 11, 2007
Messages: 70,704
Likes Received: 82,627
Trophy Points: 280  Young man you too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie

Young man you too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie.

Him have one up here
one down there

One in Hannover
one down a vere.
One she's a lawyer
one she's a doctor

One wen dem work with a little contractor.
One down a east
one down a west

Him have one up north and two down south

One a sell cigarettes on the roundabout - lord.

Young man you too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie

Him have one go a school
one gawn fool fool

Him have one everytime me say she thinks a she rules

One she a nurse she say she come first

The other night them going out dem pick her new purse.
One a sell star
one work in a bar

A she can smile when the two a dem a spar

One gettie gettie
one frettie frettie

And him no drink no other milk but Betty.

You too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie

You too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie

Young man you too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie

Him have one up here
one down there

One a go a school and one fool fool.

You too girlie girlie

you jus a flash it round the worldie

A big fat one who a go go dancer

A little slim one who's a radio announcer.
One highty highty
one flighty flighty

And before him grow old he want one a North Pole.

One in a London
one in a Japan

one in a Scotland
one in a Finland

One in a Taiwan
one in a Iran

one in a Greenland
one in a Iceland.
One in Canada
one Uganda
one America
one Cuba

One Antigua
one Grenada
one a China
and one India.
One Bolivia
one Torguga
one a Ghana
one Ethiopia

One Russia
one Syberia
one a Syria
one Tanzania.
One Australia
one Aruba
one Asia
one Australia.

Young man you too girlie girlie

You jus a flash it round the worldie.

Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
7. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#7
Jul 31, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
Mimi huwa nasema kuwa its funny kwamba
mapenzi yanapoanza kwa wengi wanakuwa wazungu zaidi....
Mwendo ni honey,sweetheart...baby.......my love ......n.k.....

Sasa wakati wa kuachana tunaachana kiswahili.......utasikia...

We mwanamke gani,ooh mbwa kabisa,nguruwe na matusi ya nguoni
ambayo yote kwa kiswahili tena fasaha.....

Sasa huwa nacheka...najiuliza...kwa nini kutongozana kiswahili hamjui,
kuachana ni we mama nanihi kwenda kwenu,nisikuona hapa .mbwa kabisa...

Tuachane kwa kiingereza pia.....lol

8. BAK

BAK JF-Expert Member

#8
Jul 31, 2011
Joined: Feb 11, 2007
Messages: 70,704
Likes Received: 82,627
Trophy Points: 280
BOSS kwa maoni yangu wenye kutoa maneno ya kashfa kiasi hicho hawana ustaarabu hata kidogo. Pamoja na kuachana si kitu chema hasa pale bado kunamapenzi na kutaka penzi liendelee lakini hakuna sababu ya kutoa maneno ya kudhalilishana na matusi ya nguoni, lakini waliokosa ustaarabu ndio zao hizo wanatoa maneno yaliyojaa kashfa chungu nzima utadhani hakuwahi kabisa kumpenda binti yule au mwanaume yule. Pamoja na hasira zinazokuwepo wakati wapenzi wanapoachana lakini unaweza kuamua kuwa mstaarabu hivyo kutotoa matusi ya nguoni, kejeli au kashfa zozote zile ila kumwambia nakutakia kila la heri katika maisha yako :)

9. Mbu

Mbu JF-Expert Member

#9
Jul 31, 2011
Joined: Jan 11, 2007
Messages: 12,729
Likes Received: 187
Trophy Points: 160
Duhh, kaka BaK nyimbo ya wakati wa ujana wangu hiyo...lohhh...ila ujumbe wake na sredi hii ya Mwj1 nimejikuta
nashangaa shangaa kuliko ku decipher the msg behind...lol...!

10. bht

bht JF-Expert Member

#10
Jul 31, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 10,341
Likes Received: 209
Trophy Points: 160
MamaMia...

Unajaribu kusema tusipende mia kwa mia?

Nikimpenda kwa moyo wote ntakosa kujipenda mwenywe?

Nikikaa mguu ndani mguu nje siku akinimwaga nina garantii kuwa sitaumia?

Kwa hiyo tusiamini ahadi tunazopewa mapenzi yanapopamba moto?

11. Ballerina

Ballerina JF-Expert Member

#11
Jul 31, 2011
Joined: Jun 2, 2011
Messages: 388
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
The Boss huishi vituko wewe.......teh teh teh ........mi nahisi wakati wakuanza mapenzi huwa kunakuwa na "kufake" kwingi.
............tunafake mpaka lugha..............(chui mvaa ngozi ya kondoo)
Wakati wa kuachana tunakuwa kwenye uhalisia wetu..........na lugha tunarudi kwenye asili yetu ......... teh teh teh .............lol

12. BAK

BAK JF-Expert Member

#12
Jul 31, 2011
Joined: Feb 11, 2007
Messages: 70,704
Likes Received: 82,627
Trophy Points: 280
Huu wimbo ni katika kuburudisha tu Mkuu, nani kakwambia miaka 30 :) ni uzee, Mkubwa? Bado unadai sana tu....cha muhimu ni kuomba Mwenyezi Mungu atujaalie maisha marefu na afya njema....

13. C

Chabo JF-Expert Member

#13
Jul 31, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 785
Likes Received: 252
Trophy Points: 80

14. C

Chabo JF-Expert Member

#14
Jul 31, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 785
Likes Received: 252
Trophy Points: 80

Nimeipenda sana hii!

15. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#15
Jul 31, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
hahahhhh we bht acha kabisa yaani mie nkikumbuka nabaki najikagua kwenye kioo pengine nimebadilika rangi au sura ah.... Bahati mbaya huwa nahifadhi moyoni yaani nkiyakumbuka loh!!

But nataka niishi to my promises now kuwa nkisema nakupenda, nitakupenda daima basi iwe kweli. Sitaki dhamira nnisute baadae!LOL

16. Jestina

Jestina JF-Expert Member

#16
Jul 31, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,806
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
hahahahahah The Boss umenichekesha sana..eti wewe mama naniii,nguruwe we hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaa

17. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#17
Jul 31, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Mbu we acha tu! Na kitisho hicho kilitolewa kwa kilio! Nway labda nlibadilika nkayapunguza mwe!

18. Mbu

Mbu JF-Expert Member

#18
Jul 31, 2011
Joined: Jan 11, 2007
Messages: 12,729
Likes Received: 187
Trophy Points: 160
Don’t make promises when you're happy,
Don’t make decisions when you're Angry.
Don't decide when you're sad.

...Ukishayatafakari hayo hapo juu, utagundua umuhimu wa kuwa mstahmilivu, msikivu,
mvumilivu, na mwenye kuamua baada ya kufikiria. It's all about how to discipline ourselves.

19. Tulizo

Tulizo JF-Expert Member

#19
Jul 31, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 849
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Huu wimbo umenikumbusha ..mbaaaali sana! tena sana...Thanks! Mungu ni mkubwa tumetoka mbali..

20. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#20
Jul 31, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
mkuu mbu hayo mengine yote ni sawa
lakini hilo no 1 ni ngumu mno
kwenye mapenzi tukishanogewa ndo ahadi zinatoka zenyewe mdomoni
yaani utasema mdomo unajitegemea hivi lol

Loading...