Je,ingekua ww ungefanyaje

Je,ingekua ww ungefanyaje

WISE 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
634
Reaction score
460
Kuna jamaa alikua anamfutilia demu kwa muda mrefu lakin kila akimwambia demu anamkataa siku akamuomba namba ya simu akapewa bàada ya muda akampigia na kulàlamika tena demu akamwambia atamjibu kwa sms jamàa akaanza kusubiri sms,mara ikaingia sms kwenye cm yak, baada ya kuona sms akaingia ndani na kufunga mlango kwa kufuli akapanda kitandani kajifunika na shuka akafungua sms akakutana sms ya TIGO
 
Haaa...haaaa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom